-
Visa vipya vya Ebola vyathibitishwa Guinea Conakry
Mar 19, 2016 02:48Shirika la Afya Duniani WHO limepeleka timu ya wataalamu Kusini mwa mkoa wa Nzérékoré nchini Guinea Conakry baada ya visa vipya viwili vya Ebola kubainika na kuthibitishwa katika maeneo ya kijijini.
-
Nchi za Afrika Magharibi kuunda kikosi cha kukabiliana na ugaidi
Mar 06, 2016 02:40Mawaziri wa ulinzi wa eneo la Sahel huko magharibi mwa Afrika wameazimia kuunda kikosi cha jeshi cha pamoja cha radiamali ya haraka ili kukabiliana na ongozeko la hatari ya makundi ya kigaidi ya al Qaeda na Daesh katika eneo hilo.