• Wahajiri wa Kiarabu waandamana kupinga jinai za Saudia

    Wahajiri wa Kiarabu waandamana kupinga jinai za Saudia

    Mar 23, 2016 03:44

    Wahajiri Waarabu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wakipinga jinai na uhalifu unaoendelea kufanywa na serikali ya Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali ya Mashariki ya Kati.