-
Hamas yapongeza hatua ya Malaysia kukataa kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 21, 2021 11:36Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia apatikana na hatia ya ufisadi na kutumia vibaya madaraka
Jul 28, 2020 10:32Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amepatikana na hatia katika tuhuma zinazomkabili ikiwa ni pamoja na kuhusika na ufisadi, kutumia vibaya madaraka na kutakatisha fedha chafu.
-
Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake
Jul 18, 2020 02:32Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.
-
Mahathir bin Mohamad: Marekani inauza duniani ndege zake za kivita zenye ubovu
May 19, 2020 02:26Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amefichua kwamba serikali ya Marekani iliiuzia nchi hiyo ndege za kivita za F16 huku zikiwa hazina namba maalumu wala vifaa muhimu na kwamba Washington huwa inatekeleza siasa hizo kwa nchi zote za dunia isipokuwa utawala haramu wa Kizayuni.
-
Mfalme wa Malaysia amteua Muhyiddin Yassin kuwa Waziri Mkuu mpya
Feb 29, 2020 13:40Mfalme wa Malaysia amemteua Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa nchi hiyo, Muhyiddin Yassin kuwa Waziri Mkuu mpya, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mahathir Muhammad, ambaye alijiuzulu hivi karibuni.
-
Mahathir Muhammad apendekezwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia
Feb 29, 2020 08:13Mahathir Muhammad, Waziri Mkuu wa Malaysia ambaye alijiuzulu hivi karibuni na kukabidhi barua yake kwa mfalme wa nchi hiyo, amesema atawasilisha jina lake kwa ajili ya kushika tena wadhifa huo.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia ajiuzulu, hitilafu zazusha mgawanyiko ndani ya serikali
Feb 24, 2020 07:47Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohamad amejiuzulu wadhifa huo. Hatua hiyo ya Mahathir Mohamad inatayarisha uwanja wa kuundwa serikali mpya nchini Malaysia.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Huwenda Marekani ikatuma droni na kunitungua
Jan 08, 2020 02:49Mahathir Mohamad Waziri Mkuu wa Malaysia ameikosoa na kuilaani vikali Marekani kwa kumuuwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kwa kutekeleza mauaji wakati wowote.
-
Malaysia: Marekani imetangaza vita kwa kumuua shahidi Soleimani
Jan 05, 2020 07:38Baraza la Shura la Jumuiya ya Waislamu Malaysia limelaani vikali hatua ya kigaidi ya Marekani ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.
-
Msimamo wa Waziri Mkuu wa Malaysia kuhusu Waislamu wa Uyghur wa China
Dec 29, 2019 07:37Waziri Mkuu wa Malaysia amesisitiza kuwa, nchi yake haitawarejesha makwao Waislamu wa jamii ya Uyghur kutoka China iwapo wataomba hifadhi nchini humo.