-
Mahathir Mohammad.: Malaysia itawapa hifadhi wakimbizi wa Uyghur kutoka China
Dec 27, 2019 12:44Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema kuwa nchi yake haitawarejesha makwao Waislamu wa jamii ya Uyghur kutoka China iwapo wataomba hifadhi nchini humo.
-
Rouhani: Kumefikiwa mapatano mazuri sana huko Malaysia na Japan
Dec 22, 2019 07:12Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alielekea Malaysia na Japan kufuatia mwaliko rasmi wa Mawaziri Waku wa nchi hizo jana alasiri alirejea Tehran.
-
Nchi za Kiislamu zatafakari kutumia dinari ya dhahabu kukabiliana na vikwazo
Dec 22, 2019 01:14Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema Iran, Malaysia, Uturuki na Qatar zinatafakari kutumia dinari ya dhahabu na mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa .
-
Erdogan: Mashinikizo ya Saudia ndiyo yaliyomfanya Imran Khan asihudhurie mkutano wa Kuala Lumpur
Dec 21, 2019 07:39Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, mashinikizo ya watawala wa Saudi Arabia kwa serikali ya Pakistan ndiyo yaliyomfanya waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan asihudhurie mkutano wa "Kuala Lumpur 2019".
-
Erdogan: Inasikitisha taasisi za Kiislamu zimefeli kushughulikia matatizo ya Waislamu
Dec 19, 2019 13:15Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameelezea kusikitishwa kwake na udhaifu wa taasisi na jumuiya za Kiislamu ambazo zimeshidnwa kupatia ufumbuzi changamoto na matatizo yanayozikabili nchi za Kiislamu.
-
Sisitizo la Waziri Mkuu wa Malaysia la kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 19, 2019 11:07Waziri Mkuu wa Malaysia amesisitiza katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Kiislamu wa "Kuala Lumpur 2019" juu ya udharura wa kukabiliana na kampeni za chuki dhidi ya Uislamu.
-
Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani
Dec 19, 2019 04:08Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uingiliaji mambo wa Marekani ndilo chimbuko la matatizo na migogoro inayoukabili uliwemwengu wa Kiislamu hii leo.
-
Rais Rouhani: Iran imevibadilisha vikwazo na kuvifanya kuwa fursa
Dec 18, 2019 08:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya wananchi wa taifa hili na kusema kuwa, Tehran imesimama kidete na kuvibadilisha vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya maadui na kuwa fursa.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 08:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Vikwazo vya US dhidi ya Iran ni haramu
Dec 15, 2019 07:49Waziri Mkuu wa Malaysia amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni batili na vya kidhalimu, na ambavyo vinakiuka Mkataba wa Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa.