-
Malaysia: Makumi ya raia waliojiunga na ISIS wameuawa na magaidi wenzao
Nov 25, 2016 04:57Khalid Abubakar, Kamanda wa Upelelezi wa jeshi la Polisi nchini Malaysia amesema kuwa, zaidi ya raia 50 wa nchi hiyo waliokuwa wamejiunga na kundi la ukufurishaji la Daesh wameuawa na wanachama wa genge hilo.
-
Safari ya Rais Rouhani Kuala Lumpur; upeo mpya katika uhusiano wa Iran na Malaysia
Oct 07, 2016 15:59Rais Hassan Rouhani leo asubuhi aliwasili Kuala Lumpur, mji mkuu wa Malaysia akiendelea na safari yake ya kuzitembelea nchi za eneo la kusini mashariki mwa Asia.
-
Malaysia yataka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Sep 25, 2016 04:15Ahmad Zahid Hamidi Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia ametaka kutekelezwa mpango kamili na jumuishi wa kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayowakabili Waislamu wa Rohingya; ambao wamelazimika kuhama Myanmar na kuwa wakimbizi kutokana na mashinikizo ya Mabudha wenye misimamo mikali wa nchi hiyo.
-
Mabaki ya Ndege yaliyopatikana Pemba, Tanzania kuchunguzwa iwapo ni ya ndege ya Malaysia
Jun 24, 2016 08:06Uchunguzi umeanzishwa kubaini iwapo kipande cha mabaki ya ndege kilichopatikana kisiwani Pemba nchini Tanzania ni kile cha ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777 , Nambari MH370 iliyotoweka Machi 2014 au la.