-
Wafanya mapinduzi ya kijeshi Mali wataka kuongoza kwa miaka 3; Ecowas yasema mmoja watosha
Aug 27, 2020 02:39Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi huko Mali wameuambia ujumbe wa wapatanishi wa Magharibi mwa Afrika kuwa wanataka kusalia madarakani kwa miaka mitatu ya kipindi cha mpito.
-
Mahakama ya Zimbabwe yamteuwa Bona Chikore kufuatilia mali za Mugabe
Dec 05, 2019 09:03Mahakama Kuu ya Zimbabwe leo amemteua binti wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Robert Mugabe kufuatilia mali zilizoachwa na kiiongozi huyo ili ziweze kugawanywa baina ya warithi wake.
-
Raia, askari 6 wauawa nchini Mali katika ghasia za uchaguzi
Nov 22, 2016 04:24Askari watano wa jeshi la Mali na raia mmoja wameuawa na genge la watu waliobeba silaha, wakati walipokuwa wakisafirisha masanduku ya kupigia kura katika mji wa Dilli.
-
Baina ya roho na mali kipi chenye thamani zaidi?
Apr 21, 2016 08:38Wako baadhi ya watu wako tayari kusamehe roho zao kwa ajili ya mali, wewe una msimamo gani. Huyu kwenye tukiwa hili la mafuriko aliamua hivi. Unakubaliana naye?