-
Mali yataka Afrika ijitegemee katika teknolojia za usalama
Aug 17, 2026 05:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop, ametoa wito kwa nchi za Afrika kujenga uwezo wa kujitegemea katika teknolojia za ulinzi na usalama, badala ya kutegemea vifaa na teknolojia kutoka mataifa ya kigeni.
-
Magaidi 70 waangamizwa katika operesheni za jeshi nchini Mali
Jul 20, 2025 12:53Jeshi la Mali lilitangaza jana Jumapili kwamba, magaidi wasiopungua 70 waliuawa katika operesheni mbili za kiusalama kaskazini na katikati mwa nchi.
-
Mali yamtia nguvuni mshukiwa wa mlolongo wa mashambulio ya kigaidi
Apr 23, 2016 11:41Serikali ya Mali imetangaza kuwa imemtia nguvuni mwanachama wa kundi lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda ambalo lilidai kuhusika na mashambulio ya kigaidi yaliyoua makumi ya watu nchini humo na katika nchi jirani za Burkina Faso na Ivory Coast.