-
Mauaji ya kikatili ya raia mwingine mweusi; ukatili usio na mwisho wa polisi wa Marekani
Jan 29, 2023 04:48Siku ya Ijumaa na baada ya kuchapishwa picha za kutisha za kupigwa kinyama Tyre Nichols, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 29 na polisi huko Memphis, katika jimbo la Tennessee, wimbi jipya la maandamano limeanza nchini humo na hasa katika miji ya Memphis, Boston, Chicago, Detroit, New York City, Portland, Oregon na Washington dhidi ya ukatili unaofanywa na polisi dhidi ya watu weusi.
-
Jenerali Mmarekani atabiri vita na China mwaka 2025, anawaambia maafisa wajitayarishe
Jan 28, 2023 23:06Jenerali wa nyota nne wa Jeshi la Wanahewa la Marekani ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea mzozo wa kijeshi kati yake na China kuhusu eneo la Taiwan mapema mwaka 2025, na hivyo amewataka makamanda kushinikiza vikosi vyao kufikia utayari wa juu zaidi kwa operesheni za kijeshi.
-
Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora
Jan 26, 2023 23:18Utawala haramu wa Israel umepinga ombi la Marekani la kuutaka uipe Ukraine makombora na silaha nyinginezo, baada ya Russia kuonya vikali dhidi ya kupewa Kiev misaada ya kijeshi na zana za vita.
-
Kan'ani: SEPAH imesambaratisha mikakati ya kibeberu ya Marekani
Jan 26, 2023 00:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limesambaratisha njama za maadui hasa Marekani katika ukanda huu na kuufedhehesha utawala wa Kizayuni.
-
Utafiti: Marekani haipo tayari kuingia vitani na China
Jan 24, 2023 23:00Kituo cha Kimataifa cha Tafiti za Kistratejia (CSIS) kimeonya kuwa, Marekani haina ubavu wala akiba ya kutosha ya silaha na zana za kijeshi za kuiwezesha kuingia katika makabiliano ya kijeshi na China.
-
Watu 10 wauawa kwa kupigwa risasi kwa umati California, Marekani
Jan 23, 2023 01:29Zaidi ya watu kumi wameuawa kwa kupigwa risasi kwa umati huko Monterey Park, California nchini Marekani wakati sherehe za Mwaka Mpya wa Kichina.
-
Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq
Jan 23, 2023 00:17Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Crimea; jitihada za kujaribu kuchochea vita
Jan 21, 2023 22:54Sabrina Singh, Naibu Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, eti Marekani inakitambua kisiwa cha Crimea kuwa sehemu ya ardhi ya Ukraine na kwamba inaunga mkono oparesheni za Kyiv za kukikomboa kisiwa hicho.
-
Kambi ya jeshi ya Marekani yashambuliwa kwa droni nchini Syria
Jan 21, 2023 06:52Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) imekiri kuwa, moja ya kambi za kistratejia za nchi hiyo huko kusini mwa Syria imeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani (droni).
-
Google ya Marekani kuwapiga kalamu nyekundu wafanyakazi 12,000
Jan 21, 2023 06:40Alphabet, ambalo ni shirika mama la kampuni ya intaneti ya Kimarekani ya Google limetangaza kuwa litawafuta kazi wafanyakazi zaidi ya 12,000.