Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine

    Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine

    Jan 20, 2023 09:01

    Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa muungano wa kijeshi wa NATO uko vitani na nchi hiyo kupitia Ukraine. Ameongeza kuwa: "Kinachotokea Ukraine ni matokeo ya maandalizi ya Marekani ya vita vya mseto dhidi ya Russia." Ameisitiza kuwa Umoja wa Ulaya umepoteza uhuru wake na sasa uko chini ya satwa ya Marekani moja kwa moja.

  • Balozi: Marekani inashajiisha vitendo vya kigaidi dhidi ya Russia

    Balozi: Marekani inashajiisha vitendo vya kigaidi dhidi ya Russia

    Jan 19, 2023 07:01

    Balozi wa Russia nchini Marekani ameonya vikali dhidi ya mashambulizi tarajiwa ya Ukraine katika Peninsula ya Crimea na kusisitiza kuwa, Moscow itajibu mapigo baada ya Washington kudokeza kuwa huenda Kiev ikatumia silaha za Magharibi kulishambulia eneo hilo.

  • Afrika Kusini yasema BRICS inatafakari kutupilia mbali sarafu ya dola ya Marekani

    Afrika Kusini yasema BRICS inatafakari kutupilia mbali sarafu ya dola ya Marekani

    Jan 18, 2023 07:27

    Nchi za Jumuiya ya BRICS ya mataifa yanayoibukia kiuchumi inataka kutupilia mbali sarafu ya dola ya Marekani na badala yake kuunda mfumo bora wa malipo ambao hautapendelea nchi tajiri.

  • Syria yalaani vikwazo vya kikatili vya US dhidi ya sekta ya afya ya nchi hiyo

    Syria yalaani vikwazo vya kikatili vya US dhidi ya sekta ya afya ya nchi hiyo

    Jan 17, 2023 09:37

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeilaani vikali Marekani kwa kulenga sekta ya afya ya nchi hiyo ya Kiarabu kwa vikwazo vya upande mmoja.

  • Afisa wa Ufaransa atahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani barani Ulaya

    Afisa wa Ufaransa atahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani barani Ulaya

    Jan 15, 2023 23:40

    Mkuu wa Kamandi ya Ulinzi wa Kimtandao wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu hatari ya ujasusi wa Marekani kwa bara Ulaya.

  • Iran yalaani mauaji ya Mmarekani mweusi yaliyofanywa na polisi Los Angeles

    Iran yalaani mauaji ya Mmarekani mweusi yaliyofanywa na polisi Los Angeles

    Jan 14, 2023 23:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mauaji ya kikatili ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi ya nchi hiyo akisisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima ya wimbi la ukatili dhidi ya Wamarekani weusi.

  • Siasa za upande mmoja za Marekani dhidi ya Iran; kudhoofishwa utawala wa sheria na kukiukwa Hati ya Umoja wa Mataifa

    Siasa za upande mmoja za Marekani dhidi ya Iran; kudhoofishwa utawala wa sheria na kukiukwa Hati ya Umoja wa Mataifa

    Jan 14, 2023 03:32

    Akizungumza Alkhamisi katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika chini ya anwani "Kukuza na Kuboresha Utawala wa Sheria katika Kudumisha Amani na Usalama wa kimataifa" Amir Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika umoja huo amesema kwamba hatua zisizo za kisheria na za upande mmoja za Marekani dhidi ya nchi huru wanachama wa Umoja wa Mataifa, kama vile Iran, zinadhoofisha utawala wa sheria na kukiuka Hati ya umoja huo.

  • Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA

    Muelekeo wa kiundumakuwili na wenye mgongano wa Marekani kuhusiana na JCPOA

    Jan 11, 2023 05:48

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Ned Price amesema, hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na serikali ya rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kosa kubwa zaidi la kistratejia lililofanywa katika miaka ya karibuni kwa upande wa sera za nje za Washington.

  • Ubaguzi washadidisha mgogoro wa 'afya ya umma' Marekani

    Ubaguzi washadidisha mgogoro wa 'afya ya umma' Marekani

    Jan 10, 2023 04:22

    Miji na kaunti zaidi ya 200 nchini Marekani zimeutangaza ubaguzi wa rangi nchini humo kama mgogoro wa afya ya umma. Wataalamu wa afya wameonya kuwa, ubaguzi wa kimfumo wa miongo kadhaa umeendelea kuathiri afya za Wamarekani wasio wazungu.

  • Maelfu ya wauguzi wafanya mgomo New York, Marekani

    Maelfu ya wauguzi wafanya mgomo New York, Marekani

    Jan 10, 2023 00:14

    Wauguzi zaidi ya 7,000 katika hospitali mbili kubwa jijini New York nchini Marekani wameanza mgomo baada ya mazungumzo yao na serikali kuhusiana na mazingira yao ya kazi, nyongeza ya mishara na sera za wafanyakazi kugonga mwamba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS