-
Mashambulio ya kikatili ya Marekani yaongezeka nchini Somalia
Jan 09, 2023 23:04Tovuti moja ya nchini Marekani imetangaza habari ya kuongezeka mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Somalia wakati wa urais wa "Joe Biden" na mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Sheikh Naim Qassim: Hujuma za kihabari na kigaidi za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba
Jan 08, 2023 08:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hujuma za kihabari na kigaidi za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizokuwa zikiendeshwa katika fremu ya machafuko yaliyokuwa yameibuka nchini Iran zimesambaratika na kugonga mwamba.
-
Iran yasisitiza kulipiza kisasi mauaji ya Jenerali Soleimani na kufukuzwa vikosi vya kigaidi vya Marekani
Jan 08, 2023 01:16Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran italipiza kisasi dhidi ya wahusika wa kitendo cha kigaidi cha mauaji ya Luteni Jenerali Soleimani na kusisitiza kuwa "kesi hii itabaki wazi hadi magaidi hao watakapoadhibiwa."
-
Mtoto wa miaka 6 ampiga risasi mwalimu wake kwa 'makusudi' Marekani
Jan 07, 2023 06:38Mtoto wa miaka sita huko nchini Marekani ametiwa mbaroni baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya mwalimu wake katika mji wa Newport News, jimboni Virginia.
-
Ammar Hakim: Kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa muqawama halisameheki
Jan 04, 2023 04:04Sayyid Ammar Hakim, Kiongozi wa Harakati ya Hikma ya Kitaifa ya Iraq amesema kuwa, kosa la Marekani la kuwauwa makamanda wa ushindi wa muqawama halisameheki.
-
Msemaji wa Mahakama ya Iran: Kuna washtakiwa 154 katika kesi ya Shahidi Soleimani
Jan 04, 2023 01:01Msemaji wa Mahakama ya Iran amesema: "Washtakiwa 154 wametambuliwa katika kesi ya mauaji ya makamanda wa muqawama na miongoni mwa washtakiwa hao kuna Wamarekani 96 huku mchakato wa uchunguzi ukiendelea."
-
Raisi: Ulipizaji kisasi cha damu ya Shahidi Soleimani ni hakika isiyoepukika
Jan 03, 2023 11:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende bure, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
-
Makumi ya Wamarekani, wahanga wa umaskini na baridi kali, huku mabilioni ya dola yakitumiwa kwenye vita vya Ukraine
Jan 02, 2023 22:51Wakati mji wa Buffalo ulioko katika jimbo la New York kaskazini-mashariki mwa Marekani, ukihangaika kujikwamua kwenye athari mbaya za theluji na dhoruba kali, matatizo yaliyosababishwa na maafa hayo makubwa yamedhihirisha zaidi ukosefu wa usawa wa kiuchumi na ubaguzi wa kimbari katika mji huo na Marekani kwa ujumla.
-
Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US
Jan 01, 2023 03:49Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri ya kuzalishwa makombora mapya ya balestiki ya kuvuka mabara, sambamba na kuongezwa kiwango cha silaha za nyuklia za 'kimkakati' kwa ajili ya kukabiliana na tishio la Marekani.
-
Twitter ya Elon Musk yawakasirisha Waislamu Marekani, "CAIR" yamtaka ajifunze Uislamu
Jan 01, 2023 00:44Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, amewakasirisha Waislamu nchini Marekani baada ya kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Twitter, ikiwa na idadi ya alama za fikra na itikadi anazodai zinalenga "kupindua na kuharibu fikra na akili za watu."