Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Sisitizo la Putin la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo ya kijiopolitiki

    Sisitizo la Putin la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo ya kijiopolitiki

    Dec 31, 2022 07:50

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana Ijumaa aliwasiliana kwa njia ya video na Rais Xi Jinping wa China na kuashiria mapambano ya Beijing na Moscow mkabala wa mashinikizo ya kijiopolitiki na kueleza kuwa ushirikiano wa nchi mbili unasaidia kuwepo mfumo wa kiadilifu duniani.

  • China: Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugika amani ya eneo ikiwemo Bahari ya Kusini ya China

    China: Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugika amani ya eneo ikiwemo Bahari ya Kusini ya China

    Dec 30, 2022 22:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Marekani ndiyo chanzo cha kuvurugikka amani katika eneo, ikiwa ni pamoja na Bahari ya Kusini ya China, na akaitaka Washington iache hatua zake hatarishi na za kichochezi.

  • Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin

    Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin

    Dec 28, 2022 22:54

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa matamshi ya maafisa wa Marekani katika Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo Pentagon, kuhusu pigo la kukata kichwa cha Kremlin kwa hakika ni tishio la kutaka kumuua kigaidi Rais wa Russia.

  • Zaidi ya watoto 6,000 ni wahanga wa ukatili wa bunduki nchini Marekani mwaka 2022

    Zaidi ya watoto 6,000 ni wahanga wa ukatili wa bunduki nchini Marekani mwaka 2022

    Dec 28, 2022 04:33

    Mtandao wa Hifadhi ya Ukatili wa Silaha nchini Marekani uliripoti kwamba mwaka huu unaomalizika wa 2022, zaidi ya watoto 6,000 wa nchi hiyo waliuawa au kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na vurugu za kutumia silaha, idadi ambayo ni kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika kipindi cha miaka 9 iliyopita.

  • Medvedev atabiri kugawanyika Marekani, Ulaya; Elon Musk kuwa rais wa Marekani mwaka 2023

    Medvedev atabiri kugawanyika Marekani, Ulaya; Elon Musk kuwa rais wa Marekani mwaka 2023

    Dec 28, 2022 00:54

    Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amewasilisha utabiri wake wa mwaka mpya wa 2023 unaojumuisha hatima mbaya kwa Merekani na Umoja wa Ulaya, ambazo zimekuwa kwenye mzozo mkali na Russia tangu kuanza kwa vita nchini Ukraine tarehe 14 Februari mwaka huu.

  • Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi

    Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi

    Dec 27, 2022 22:27

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.

  • China: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika marhala ya mwisho

    China: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika marhala ya mwisho

    Dec 27, 2022 03:56

    China imesema mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yapo katika hatua ya mwisho, na kusisitiza kwamba fursa ya kufufua mapatano hayo ya kimataifa ingalipo.

  • Moscow yatoa onyo baada ya Washington kutishia kumuua Rais wa Russia

    Moscow yatoa onyo baada ya Washington kutishia kumuua Rais wa Russia

    Dec 27, 2022 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa indhari baada ya maafisa 'wasiojulikana' wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kutoa vitisho vya kumuua Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.

  • Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi

    Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi

    Dec 25, 2022 22:48

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.

  • Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine

    Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine

    Dec 25, 2022 22:47

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuhusu uamuzi wa Marekani wa kutuma mitambo ya makombora aina ya Patriot nchini Ukraine, kwamba ana uhakika wa asilimia 100 vikosi vya jeshi la nchi yake vitayateketeza makombora hayo ya ulinzi wa anga ya Washington.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS