Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon

    Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon

    Oct 25, 2022 07:29

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.

  • Maandamano ya kupinga siasa za Marekani nchini Ethiopia

    Maandamano ya kupinga siasa za Marekani nchini Ethiopia

    Oct 25, 2022 06:27

    Sambamba na kushtadi mapigano nchini Ethiopia na kuvunjwa makubalianao ya usitishaji vita ya miezi mitano na kuwaka tena moto wa vita katika nchi hiyo, maelfu ya Waethiopia walifanya maandamano ya nchi nzima siku ya Jumamosi kulaani uingiliaji wa madola ya kigeni, hasa Marekani, katika masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Hujuma za magaidi zaongezeka kwa 300% Afrika licha ya operesheni za US

    Hujuma za magaidi zaongezeka kwa 300% Afrika licha ya operesheni za US

    Oct 24, 2022 00:32

    Ripoti mpya ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha kuwa, mashambulizi ya magenge ya wanamgambo yameongezeka kwa asilimia 300 katika nchi za Afrika katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

  • Uchunguzi wa maoni: Mfumuko wa bei na uhalifu ndio maswala makuu yanayowashughulisha zaidi Wamarekani

    Uchunguzi wa maoni: Mfumuko wa bei na uhalifu ndio maswala makuu yanayowashughulisha zaidi Wamarekani

    Oct 23, 2022 01:06

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kwamba mfumuko wa bei na takwimu za juu za uhalifu nchini Marekani ndizo mambo yanayowatia wasiwasi mkubwa zaidi Wamarekani.

  • Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Oct 22, 2022 09:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Iran inachukua hatua kwa kutumia mantiki na kuchunga mistari myekundu ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na haitapatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo.

  • Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani

    Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani

    Oct 22, 2022 07:41

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.

  • Marekani yaingiwa na wahaka kufuatia maridhiano ya Syria na HAMAS

    Marekani yaingiwa na wahaka kufuatia maridhiano ya Syria na HAMAS

    Oct 21, 2022 07:54

    Marekani imeonya kuwa itachukua hatua zaidi za 'kumtenga' Rais Bashari al-Assad wa Syria, jambo linaloashiria kuwa Washington imeingiwa na kiwewe kufuatia hatua ya hivi karibuni ya Damascus kufikia maridhiano na Harakati ya Mapmbano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).

  • Nchi 8 zatahadharisha kuhusu shughuli za kibaolojia za Marekani huko Ukraine

    Nchi 8 zatahadharisha kuhusu shughuli za kibaolojia za Marekani huko Ukraine

    Oct 19, 2022 04:30

    Nchi 8 zimetaka katika kikao cha Umoja wa Mataifa kutumiwa njia zote zilizopo ili kuweka wazi taarifa zinazohusiana na shughuli za kibaolojia zinazofanywa na jeshi la Marekani huko Ukraine.

  • Kwa nini Marekani imejikita sana katika kuunga mkono ghasia nchini Iran

    Kwa nini Marekani imejikita sana katika kuunga mkono ghasia nchini Iran

    Oct 17, 2022 07:45

    Karine Jean-Pierre Msemaji wa White House ameashiria namna Marekani ilivyojikika pakubwa katika machafuko na ghasia hapa nchini na kueleza kuwa: hata kama serikali ya Biden inaamini kuwa diplomasia ni njia bora zaidi ya kuizuia Iran kumiliki silaha za nyuklia lakini sasa Washington imejikita katika kuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.

  • Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini

    Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini

    Oct 16, 2022 07:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, baada ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kutangaza kuwa anaunga mkono ghasia na fujo zinazoshuhudia hapa nchini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS