-
Aina mpya ya Omicron yaenea nchini Marekani
Oct 16, 2022 04:44Utafiti mpya wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magojwa cha Marekani (CDC) umebaini kuwa, aina mpya ya kirusi cha corona cha Omicron, imesambaa mno nchini Marekani.
-
Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran
Oct 15, 2022 00:10Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, amekiri kwamba utawala wa Joe Biden sasa umejikita kwenye machafuko na ghasia nchini Iran huku akiiishutumu Tehran kuwa haiko tayari kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mbali na kukiri huko, imekuwa ikifahamika wazi kimataifa kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi
Oct 14, 2022 04:20Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema iwapo Marekani inataka kupambana kwa dhati na ugaidi, sharti iachane na tabia yake ya kuunga mkono makundi ya kigaidi kama lile la Kumalah.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui
Oct 13, 2022 08:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba, njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Hakuna faida ya kufanya mazungumzo na Marekani
Oct 11, 2022 03:53Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amesema hakuna tija itakayopatikana kwa kufanya mazungumzo yoyote yale na Marekani na akabainisha kuwa kwa upande mmoja Washington inazungumzia kufanya mazungumzo na kuanzisha uhusiano; na kwa upande mwingine inatoa vitisho vya operesheni za kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Kuongezeka hitilafu kati ya Marekani na Saudi Arabia
Oct 10, 2022 05:48Kundi la wabunge wa chama cha Democratic cha Marekani wametaka kuondolewa wanajeshi wa nchi hiyo kutoka Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, kwa jina jingine Imarati, kufuatia uamuzi wa kundi la OPEC-Plus kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku.
-
Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani
Oct 10, 2022 03:58Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani vikwazo shadidi vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kuwa, "Wamagharibi wanalipiza kisasi dhidi ya Wairani, kwa kuanzisha kampeni ya mauji ya kimbari dhidi ya wagonjwa wa nchi hii."
-
Damascus: Marekani inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake kutoka Syria
Oct 08, 2022 23:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesisitiza kuwa, Washington inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake haramu katika ardhi ya Syria.
-
Sera mpya za Marekani Afghanistan
Oct 08, 2022 22:50Karen Decker Kaimu Balozi wa Marekani nchini Afghanistan amesema kuwa ni jambo lililo mbali kwa nchi yake kurejea tena kijeshi huko Afghanistan.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Dunia haijasahau kashfa ya makaburi ya halaiki nchini Canada
Oct 06, 2022 10:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Ulimwengu bado haujasahau kashfa ya kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki ya mamia ya watoto katika viwanja vya shule za wamishonari yapata mwaka mmoja uliopita.