-
Watoto 270,000 wameambukizwa Corona ndani ya mwezi mmoja Marekani
Mar 22, 2022 22:12Watoto 270,000 wameambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-
Russia yajibu madai ya Biden ya matumizi ya silaha za kibaolojia nchini Ukraine
Mar 22, 2022 08:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Ryabkov amesema Jumanne leo kwamba matamshi yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Joe Biden kuhusu uwezekano wa Russia kutumia silaha za kemikali na za kibaolojia huko Ukraine ni ya kihabithi.
-
CNN: Wamarekani wengi wanaona US inaelekea kusiko
Mar 22, 2022 01:55Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika hivi karibuni yanaonesha kuwa, aghalabu ya wananchi wa Marekani wanaamini kuwa, taifa lao lipo katika mkondo usio sahihi.
-
Shutuma za Russia kwa Marekani inayokwamisha mazungumzo ya Ukraine
Mar 21, 2022 22:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergeĭ Viktorovich Lavrov ameishutumu vikali Marekani kwa siasa zake kuhusu vita vya Ukraine na kusema kuwa, Washington ndiyo inayokwamisha kufikiwa makubaliano baina ya Moscow na Kyiv hata katika masuala madogo kabisa. Amesema, hivi sasa Marekani inawatwisha viongozi wa Ukraine misimamo yake na ndio maana Kyiv inakwamisha kila kitu katika mazungumzo yake na Russia.
-
Licha ya kuingia doa uhusiano wao, Marekani yaipatia Saudia mitambo ya kutungulia makombora
Mar 21, 2022 08:36Licha ya kuingia doa uhusiano wa Marekani na Saudi Arabia, afisa mmoja wa serikali ya Washington amesema, nchi yake imepeleka Saudia mitambo ya kutungulia makombora.
-
Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui
Mar 21, 2022 04:23Admiral Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiimarisha vilivyo kupambana na ushetani wowote wa maadui na haitatoa mwanya hata kidogo wa kufanikiwa njama za adui.
-
Balozi wa Yemen: Baadhi ya nchi za Kiarabu ni vikaragosi vya Marekani
Mar 20, 2022 04:44Balozi wa Yemen mjini Tehran amekosoa vikali tabia ya baadhi ya tawala za Kiarabu ya kujikomba na kujidhalilisha kwa Marekani na kusisitiza kuwa, Washington inayatumia madola hayo kama chombo cha kufanikisha njama zake katika eneo la Asia Magharibi.
-
Askari 4 wa US waangamia katika luteka ya NATO nchini Norway
Mar 19, 2022 23:15Askari wanne wa Marekani wameaga dunia baada yao ya ndege ya kivita kuanguka na kuwaka moto wakati wa maneva ya kijeshi ya nchi wanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO nchini Norway.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 02:35Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani
Mar 18, 2022 03:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani ambao ndio wasababishaji wake wakuu.