-
Marekani yatangaza wajumbe wa iitwayo 'Bodi ya Amani' ya Ghaza, yumo pia Tony Blair
Jan 18, 2026 02:39Ikulu ya White House imetangaza majina ya wajumbe wa linaloitwa baraza la amani litakaloongozwa na Rais wa Marekani Donald Trump na kusimamia utawala wa eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza. Orodha hiyo inajumuisha waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mark Rubio, mjumbe maalumu wa Trump Steve Witkoff, mkwe wa Trump Jared Kushner, na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair.
-
Onyo la Iran kwa Marekani; Usirudie tena vita vilivyofeli vya siku 12
Jan 18, 2026 02:37Tehran imemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kukariri uzoefu uliofeli wakati wa vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran.
-
Imam Khamenei: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja/ Lengo la Marekani ni kuimeza Iran
Jan 17, 2026 13:45Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
Kwa nini Wamarekani waliowengi wanapinga wazo la Marekani kuimiliki Greenland?
Jan 16, 2026 15:20Utafiti mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga vikali wazo la kuihodhi Greenland.
-
Iran: US, Israel ziliwapa silaha, fedha wafanya ghasia nchini
Jan 16, 2026 02:54Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Marekani na Israel zilipanga na kufanikisha ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini hivi karibuni, zikielekeza silaha na pesa taslimu kuchochea vurugu na uvunjifu wa utulivu, ikiwa ni sehemu ya mpango mpana wa kuibua mgawanyiko na mifarakano katika taifa hili.
-
Nini lengo la mchezo wa takwimu wa Trump kuhusu waliofariki katika ghasia za Iran?
Jan 15, 2026 10:34Ikiwa ni katika fremu ya uingiliaji wake katika masuala ya ndani ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amezindua sarakasi mpya ya takwimu kuhusu Iran.
-
Haki za binadamu za Kimarekani; Risasi ndani, madai ya haki za binadamu nje ya nchi
Jan 15, 2026 05:11Kufuatia kifo cha raia wa Marekani aliyepigwa risasi na maafisa wa uhamiaji, maandamano yamekuwa yakiendelea katika majimbo mengi ya Marekani.
-
Kwa nini Pakistan imekosoa msimamo wa Trump kuhusu machafuko nchini Iran?
Jan 14, 2026 07:21Pakistan imekosoa msimamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu machafuko yanayochochewa na nchi za Magharibi nchini Iran.
-
Larijani: Trump ndiye 'muuaji mkubwa zaidi' wa Wairani
Jan 14, 2026 06:46Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amelaani vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya taifa hili, akimtaja mwanasiasa huyo kama mmoja wa wauaji wakubwa zaidi wa Wairani.
-
Afrika yakosoa hatua ya Trump ya kuiondoa US katika taasisi za kimataifa
Jan 14, 2026 06:45Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kuimarishwa mifumo ya pande nyingi ili kushughulikia changamoto za kimataifa, siku chache baada ya Marekani kuchukua uamuzi wa upande mmoja wa kujiondoa katika taasisi mbalimbali za kimataifa.