-
Katika kura ya maoni, Waecuador wakataa US kuwa na kituo cha kijeshi tena nchini mwao
Nov 17, 2025 10:47Wananchi wa Ecuador wamekataa pendekezo la kuruhusu kurejeshwa tena nchini humo vituo vya kijeshi vya nchi za kigeni. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali ya kura ya maoni, ambapo hesabu za asilimia 90 ya kura zinaonyesha kuwa karibu theluthi mbili ya walioshiriki wamepiga kura ya “hapana” kupinga pendekezo hilo.
-
Vyombo vya usalama Tanzania vyamkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu
Nov 17, 2025 03:46Polisi ya Tanzania imetangaza kuwa imemkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu katika mpaka wa Tanzania na Kenya.
-
Nchi wanachama wa NATO kuilipa Marekani yuro milioni 400 za silaha itakazoipatia Ukraine
Nov 16, 2025 02:27Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO Mark Rutte amesema, nchi kadhaa wanachama wa shirika hilo zitachangia kwa pamoja shehena ya silaha na zana za kijeshi yenye thamani ya yuro milioni 400 kwa ajili ya Ukraine, ambazo zitanunuliwa kutoka Marekani.
-
Kwa nini China na Russia zimepinga azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu Gaza?
Nov 16, 2025 02:26Russia na China ambazo ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimetaka kufutwa kikamilifu "Tume ya Amani" kwenye matini ya rasimu iliyowasilishwa na Marekani kwenye baraza kuhusu Gaza.
-
Kwa nini Marekani inataka Uturuki iachane na nishati ya Russia?
Nov 15, 2025 02:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameitaka Uturuki iache kununua nishati ya Russia.
-
Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?
Nov 14, 2025 08:09Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa kutohudhuria Wamarekani katika kikao cha G20 ni hasara kubwa kwao.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani: EU siyo inayoainisha sheria za kimataifa
Nov 14, 2025 07:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio amesema, nchi yake haitakubali mahubiri yanayotolewa na Umoja wa Ulaya EU kuhusu jinsi inavyoendesha shughuli zake za usalama wa taifa na akapuuza ukosoaji wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo kwa mashambulizi ya kijeshi yanayofanywa na Marekani kuzilenga boti zinazopita eneo la Carribean.
-
Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu
Nov 12, 2025 02:31Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
-
Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?
Nov 10, 2025 02:22Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa kwa kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Yemen na kusababisha mateso kwa raia.
-
Qalibaf: Marekani lazima ikubali matokeo ya uchokozi wake wa wazi dhidi ya Iran
Nov 09, 2025 11:50Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, anasema Marekani lazima ikabiliane na matokeo ya kisheria na kisiasa ya kitendo chake cha uchokozi mbaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, mapema mwaka huu.