Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Saudi Arabia, mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha duniani; Marekani muuzaji mkubwa

    Saudi Arabia, mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha duniani; Marekani muuzaji mkubwa

    Mar 15, 2021 08:36

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stokholm, SIPRI, zaidi ya thuluthi moja ya silaha zilizonunuliwa duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita zilinunuliwa kutoka Marekani na nusu ya silaha hizo zilitumwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi

    Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi

    Mar 15, 2021 07:56

    Umetimia muongo mmoja tokea vianze vita baina ya serikali ya Syria na makundi ya kigaidi. Swali muhimu ambalo linaibuka hapa ni hili, je ni kwa nini vita hivi vilianza na vimekuwa na matokeo gani baada ya kupita miaka 10.

  • 'Kufungiwa akaunti ya Twitter kumemuumiza zaidi Trump kuliko kushindwa katika uchaguzi'

    'Kufungiwa akaunti ya Twitter kumemuumiza zaidi Trump kuliko kushindwa katika uchaguzi'

    Mar 15, 2021 00:22

    Mpwa wa rais wa zamani wa Marekani amesema, kufungiwa Donald Trump akaunti yake ya Twitter na kunyimwa fursa ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya gofu vimemuumiza zaidi kuliko pigo alilopata kwa kushindwa katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

  • National Interest: Iran ina uwezo wa kulisababishia hasara kubwa jeshi la Marekani

    National Interest: Iran ina uwezo wa kulisababishia hasara kubwa jeshi la Marekani

    Mar 14, 2021 23:30

    Tovuti ya habari ya nchini Marekani ya National Interes imeashiria uwezo wa kiulinzi wa Iran na nafasi yake ya kijiografia na kuripoti kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kulisababishia jeshi la Marekani hasara kubwa iwapo kutajiri shambulio lolote la nchi ajinabi dhidi yake.

  • Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika

    Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika

    Mar 12, 2021 08:33

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika.

  • Iran: Hakuna mazungumo yanayohitajika kwa Marekani kurejea katika JCPOA

    Iran: Hakuna mazungumo yanayohitajika kwa Marekani kurejea katika JCPOA

    Mar 11, 2021 23:11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema mpango wa Marekani wa kutaka kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hauhitaji mazungumzo yoyote kwani Washington haikufanya mazungumzo wala mashauriano na yeyote wakati wa kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa.

  • Vikwazo vya kwanza vya serikali ya Biden dhidi ya Iran, muendelezo wa sera za uhasama za Marekani

    Vikwazo vya kwanza vya serikali ya Biden dhidi ya Iran, muendelezo wa sera za uhasama za Marekani

    Mar 11, 2021 06:31

    Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mnamo Mei 2018 katika zama za utawala wa Donald Trump, nchi hiyo ilianza kutekeleza sera za mashinikizo ya juu kabisa pamoja na vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Pamoja na kuwepo janga la corona, Iran imeendelea kuwekewa vikwazo hivyo vilivyo dhidi ya binadamu.

  • Bernie Sanders: Umasikini baina ya watoto umeongezeka nchini Marekani

    Bernie Sanders: Umasikini baina ya watoto umeongezeka nchini Marekani

    Mar 09, 2021 23:18

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema kuwa, kiwango cha umasikini baina ya watoto nchini humo kimeongezeka mno na kufikia kiwango cha juu kabisa ikilinganishwa na mataifa muhimu duniani.

  • Serikali ya Biden kutekeleza hujuma za kimtandao dhidi ya Russia

    Serikali ya Biden kutekeleza hujuma za kimtandao dhidi ya Russia

    Mar 09, 2021 01:19

    Duru moja ya habari iliyo karibu na chama tawala cha Dmocrat nchini Marekani imefichua kuwa, kuna uwezekano Washington wiki tatu za karibuni ikatekeleza silsila ya hujuma za kimtandao dhidi ya Russia.

  • Marekani; tishio kubwa zaidi kwa China

    Marekani; tishio kubwa zaidi kwa China

    Mar 08, 2021 06:28

    Huku vita vya maneno vikizidi kuongezeka kati ya viongozi wa China na Marekani, mara hii Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa Marekani ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa nchi yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS