-
Susan Rice: Msingi mkuu wa serikali ya Marekani ni ubaguzi wa rangi
Jun 20, 2020 07:15Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya Marekani wa zama za serikali iliyopita ya nchi hiyo amesema, msingi wa serikali ya hivi sasa ya Marekani ni ubaguzi wa rangi na wa kizazi.
-
Baraza la Haki la UN lapasisha azimio la kulaani ubaguzi wa rangi
Jun 20, 2020 02:13Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani vikali ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi dhidi ya raia weusi katika nchi mbali mbali duniani.
-
NYT: Trump anamsaka mtu aliyevujisha habari ya kujificha kwake chini ya handaki ya White House
Jun 19, 2020 03:47Rais Donald Trump wa Marekani anamsaka kwa udi na uvumba mfanyakazi wa White House aliyevujisha habari ya kukimbilia kwake kwenye handaki iliyoko chini ya ardhi ya White House wakati wa kilele cha maandamano makali ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani wiki kadhaa zilizopita.
-
Ndugu zake Floyd waishika miguu UN, waiomba iwasaidie Wamarekani weusi
Jun 18, 2020 22:49Nduge zake George Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mzungu huko Marekani, wameuomba Umoja wa Mataifa kuwasaidia watu weusi wa Marekani na kusikiliza kilio chao.
-
Baraza la Haki za Binaadamu lalaani ubaguzi wa rangi wa kimfumo nchini Marekani
Jun 18, 2020 04:31Kikao cha dharura cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilifanyika Jumatano tarehe 17 Juni kwa lengo la kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu na ubaguzi wa rangi wa kimfumo nchini Marekani. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi.
-
Trump aiomba China imsaidie kushinda uchaguzi mkuu ujao
Jun 18, 2020 04:01Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, John Bolton amesema katika kitabu chake kipya kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliiomba China imsaidie katika kushinda uchaguzi mkuu wa rais uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.
-
Waislamu wa Marekani wapaza sauti kulaani ubaguzi, ukatili wa polisi
Jun 16, 2020 03:39Mashirika ya Waislamu nchini Marekani yamejiunga na wimbi la malalamiko ya kuishinikiza serikali ya Washington ifanye mageuzi haraka iwezekanavyo kwa ajili ya kuondoa ubaguzi wa rangi wa kimfumo katika muundo wa polisi ya nchi hiyo.
-
Malalamiko ya Ujerumani kwa vitisho vya Marekani dhidi ya usalama wa nishati barani Ulaya
Jun 15, 2020 03:30Baada ya Donald Trump kuingia katika Ikulu ya Marekani, White House, uhusiano wa Washington na Umoja wa Ulaya ikiwemo Ujerumani umevurugika na kufikia kiwango cha chini kabisa. Uhusiano huo umezidi kuwa mbaya baada ya Trump kuzungumzia suala la kuondoa wanajeshi wa Marekani huko Ujerumani.
-
Kuungana watu wa Ulaya na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 14, 2020 21:53Ukandamizaji na utumiaji mabavu wa polisi ya Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika licha ya kuwa una historia kongwe, lakini kuuawa Mmarekani mweusi George Floyd jinai iliyofanywa na polisi mweupe katika mji wa Minneapolis kwenye jimbo la Minnesota, sio tu kwamba, kumewasha moto wa malalamiko na maandamano ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika miji mbalimbali ya Marekani, bali malalamiko hayo yameenea hadi katika nchi za bara Ulaya.
-
Mazungumzo kuhusu ubaguzi wa kizazi; mwito wa nchi za Afrika kwa Baraza la Haki za Binadamu
Jun 13, 2020 23:14Kuuliwa kikatili Mmarekani Mwafrika, Geroge Floyd, kulikofanywa na polisi mzungu tarehe 25 Mei huko Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani si tu kumezusha wimbi kubwa la maandamano ndani ya nchi hiyo, bali dunia nzima imeripuka kwa maandamano ya kushinikiza mapambano ya kweli dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa jeshi la polisi la Marekani.