-
Wanadiplomasia wa EU: Marekani haina haki ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 06, 2020 03:31Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamesema kwa kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran, Marekani ilipoteza haki yake ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.
-
Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'
May 06, 2020 03:28Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria juu ya uhusiano madhubuti baina ya taifa hili na Afghanistan, imekosoa vikali madai ya Marekani dhidi ya Tehran kuhusu tukio la kupoteza maisha raia wa Kiafghani katika eneo la Herat, mpakani mwa nchi mbili hizi.
-
Corona na ongezeko la wazee kufariki dunia mjini New York
May 05, 2020 23:55Viongozi wa jimbo la New York nchini Marekani wameelezea kufariki dunia watu wengine 1,700 katika vituo vya kuwalea wazee ndani ya jimbo hilo kutokana na virusi vya Corona, idadi ambayo ilikuwa haijasajiliwa.
-
Rais Rouhani: Iwapo Marekani ni mkweli kuhusu madai yake, isitishe vikwazo dhidi ya Iran
May 05, 2020 23:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya Marekani kuwa iko tayari kuisadia Iran kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) na kusema: "Iwapo Wamarekani ni wakweli, njia pekee ni kuondoa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria dhidi ya Iran."
-
Marekani yawaliwaza kwa medali askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi la Iran
May 05, 2020 03:34Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani imewatunuku medali za heshima makumi ya askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi kali la Iran la mapema mwaka huu nchini Iraq.
-
Vifo vya corona duniani vyapindukia robo milioni, Marekani ingali inaongoza
May 05, 2020 03:29Takwimu mpya za Chuo Kikuu cha Johns Hopkins zinaonesha kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona kote duniani ni zaidi ya robo milioni.
-
Venezuela yawakamata mamluki wa Marekani waliotaka kufanya mapinduzi
May 05, 2020 03:27Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amesema vyombo vya usalama vya nchi hiyo vimewatia mbaroni 'magaidi' 13 wakiwemo mamluki wawili wa Kimarekani wanaohusishwa na jaribio lililotibuliwa la kujipenyeza nchini humo na kufanya mapinduzi.
-
Trump: Maafisa wa intelijensia hawakusema kama kirusi cha corona ni hatari
May 04, 2020 09:31Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa, hakupewa taarifa za tahadhari na vyombo vya intelijensia vya nchi hiyo kuhusu mripuko wa virusi vya corona na akaongeza kwamba, maafisa wa intelijensia hawakusema kama kirusi cha corona ni hatari.
-
Trump atoa utabiri mpya kuhusu Corona, asema Wamarekani laki moja watafariki hivi karibuni
May 04, 2020 03:42Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa kwa akali watu laki moja nchini Marekani wanatazamiwa kufariki dunia kutokana na virusi vya Corona.
-
Kuendelea mgogoro wa Corona na sisitizo la Marekani la kuiadhibu China
May 03, 2020 21:52Sambamba na kuendelea mgogoro wa Corona na kuongezeka idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo nchini Marekani, Rais Donald Trump anaendelea kufanya njama za kuitwisha mzigo wa suala hilo serikali ya China ili kwa njia hiyo aweze kusalimika na ukosoaji pamoja na mashinikizo ya kijamii kutokana na utendaji mbovu wa serikali yake katika kukabiliana na Corona.