Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo

    Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo

    Apr 12, 2020 23:06

    Baraza la Makanisa Duniani na Jumuiya ya Kitaifa ya Makanisa ya Kristo zimeeleza wasiwasi wao juu ya athari mbaya za vikwazo vya Marekani dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Gharama kubwa za safari za familia ya Trump zaathiri wananchi wa Marekani

    Gharama kubwa za safari za familia ya Trump zaathiri wananchi wa Marekani

    Apr 12, 2020 03:22

    Duru za habari zimefichua utumiaji mkubwa wa siri wa vyombo vya usalama vya Marekani kwa lengo kuwasindikiza watu wa familia ya Trump katika safari zao.

  • Makumi ya askari wa Marekani walioko Iraq wakumbwa na corona

    Makumi ya askari wa Marekani walioko Iraq wakumbwa na corona

    Apr 11, 2020 10:34

    Makumi ya askari wa jeshi vamizi la Marekani nchini Iraq wameambukizwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.

  • Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia

    Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia

    Apr 11, 2020 09:19

    Maseneta wa Marekani wametishia kuangalia upya uhusiano wao na Saudi Arabia kutokana na hatua ya Riyadh ya kuendelea kuvutana na Russia juu ya bei ya mafuta ghafi ambayo imeiathiri pia Marekani.

  • Virusi vya Corona vyasababisha hasara ya dola bilioni moja katika utajiri wa Trump

    Virusi vya Corona vyasababisha hasara ya dola bilioni moja katika utajiri wa Trump

    Apr 08, 2020 22:11

    Gazeti la The Guardian limeeleza kuwa utajiri wa Rais Donald Trump wa Marekani, umepata hasara ya dola bilioni moja kutokana na kuenea virusi vya Corona.

  • Tishio la Marekani la kuikatia misaada WHO wakati huu wa corona

    Tishio la Marekani la kuikatia misaada WHO wakati huu wa corona

    Apr 08, 2020 22:10

    Baada ya kuenea sana maambukizi ya kirusi cha corona nchini Marekani na kupamba moto lawama dhidi ya utendaji mbovu wa rais wa nchi hiyo katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19, Donald Trump amekuwa akitapatapa huku na huko kwa kutoa tuhuma zisizo na msingi. Huko nyuma aliilaumu China kuwa imechelewa kuijulisha Marekani kuhusu ugonjwa huo na sasa amelivurumishia Shirika la Afya Duniani WHO tuhuma hizo hizo na kutishia kulikatia misaada.

  • Kamisheni ya Usalama ya Bunge la Iraq yaonya kuhusu kupuuzwa uwepo wa Marekani nchini humo

    Kamisheni ya Usalama ya Bunge la Iraq yaonya kuhusu kupuuzwa uwepo wa Marekani nchini humo

    Apr 08, 2020 08:36

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametahadharisha kuhusiana na kuendelea kuwepo majeshi ya Marekani katika kituo cha Ain al-Assad katika mkoa wa al-Anbar na al-Harir katika eneo lenye Mamlaka ya Ndani la Kurdestan.

  • Idadi ya wahanga wa corona huko New York ni zaidi ya wale wa mashambulio ya Septemba 11

    Idadi ya wahanga wa corona huko New York ni zaidi ya wale wa mashambulio ya Septemba 11

    Apr 08, 2020 03:25

    Idadi ya watu walioaga dunia kwa maambukizi ya virusi vya corona katika mji wa New York nchini Marekani ni zaidi ya wale waliofariki dunia katika mashambulizi ya Septemba 11 katika kituo cha kimataifa cha biashara mjini humo.

  • Raia weusi wanaathiriwa kwa wingi na corona Marekani huku UN ikionya kuhusu ubaguzi katika utoaji huduma

    Raia weusi wanaathiriwa kwa wingi na corona Marekani huku UN ikionya kuhusu ubaguzi katika utoaji huduma

    Apr 07, 2020 10:27

    Takwimu za majimbo mbali mbali nchini Marekani zinaonyesha kuwa jamii za raia weusi wenye asili ya Afrika ndizo zinazoathiriwa kwa wingi na maambukizo ya virusi vya corona.

  • Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe

    Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe

    Apr 07, 2020 03:04

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema mgogoro wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) umeudhihirishia ulimwengu kuwa, utawala wa kibeberu wa Marekani ambao unajiona kuwa kiongozi na mtawala wa dunia umeshindwa hata kujiongoza wenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS