Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Hitilafu za Russia na Saudia kuhusiana na bidhaa ya mafuta zaahirisha mkutano wa OPEC+

    Hitilafu za Russia na Saudia kuhusiana na bidhaa ya mafuta zaahirisha mkutano wa OPEC+

    Apr 06, 2020 01:31

    Vita vya bei ya mafuta baina ya Russia na Saudi Arabia vilivyoanza baada ya kufeli mkutano wa mwanzoni mwa mwezi Machi uliopita wa OPEC+ mjini Vienna vimesababisha kuporomoka kwa bei ya bidhaa hiyo kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipini cha miaka 18 iliyopita.

  • Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq yatahadharisha juu ya malengo ya Marekani ya kubakia kwa muda mrefu nchini Iraq

    Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq yatahadharisha juu ya malengo ya Marekani ya kubakia kwa muda mrefu nchini Iraq

    Apr 05, 2020 22:03

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq ametahadharisha juu ya mipango ya Marekani ya kutaka kubakia kwa muda mrefu nchini humo.

  • Kissinger: Virusi vya corona vitabadili mfumo wa dunia, serikali ya Trump haina mwelekeo wala sifa

    Kissinger: Virusi vya corona vitabadili mfumo wa dunia, serikali ya Trump haina mwelekeo wala sifa

    Apr 05, 2020 07:19

    Waziri wa zamani wa Marekani, Henry Kissinger, amesema katika makala yake iliyochapishwa kwenye gazeti la The Wall Street Journal kwamba, mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona utabadilisha mfumo wa dunia milele.

  • Trump awataka Wamarekani wajiandae kwa 'vifo vingi' vya corona

    Trump awataka Wamarekani wajiandae kwa 'vifo vingi' vya corona

    Apr 05, 2020 03:33

    Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kuwa, taifa hilo litashuhudia vifo vingi vya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona ndani ya wiki mbili zijazo, huku nchi hiyo ikiendelea kuongoza kwa idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo duniani.

  • Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi

    Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi

    Apr 04, 2020 06:56

    Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.

  • Kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Sudan

    Kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Sudan

    Apr 04, 2020 02:43

    Uingiliaji wa Marekani katika nchi za Afrika kwa njia ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja, ungali unaendelea.

  • Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Apr 03, 2020 23:43

    Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.

  • Seneta wa Marekani aionya Saudia kwa kushusha bei ya mafuta

    Seneta wa Marekani aionya Saudia kwa kushusha bei ya mafuta

    Apr 03, 2020 23:42

    Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani ameitahadharisha Saudia kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia kutokana na tofauti zake na Russia na kuitaka ibadili mienendo yake.

  • Mgogoro wa Corona na kuendelea kilio cha wauguzi wa New York kutokana na uhaba wa vifaa

    Mgogoro wa Corona na kuendelea kilio cha wauguzi wa New York kutokana na uhaba wa vifaa

    Apr 03, 2020 08:13

    Wauguzi wa hospitali za New York nchini Marekani wamekusanyika katika maeneo yao ya kazi wakiitaka serikali iongeze vifaa vya kuwasaidia wahudumu wa afya kujikinga na maambukizo ya maradhi.

  • Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran

    Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran

    Apr 03, 2020 02:27

    Licha ya hali ya dharura na isiyo ya kawaida iliyopo kimataifa kutokana na mripuko wa janga la corona lililoikumba dunia nzima, Marekani ingali inaendelea kufuata muelekeo wa utumizi wa nguvu za kijeshi na kushikilia kuchukua hatua za kijeshi katika siasa zake za nje.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS