-
Brigedia Jenerali Baqeri: Hatua yoyote dhidi ya Iran itajibiwa vikali zaidi
Apr 02, 2020 22:31Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amezungumzia harakati za kijeshi za Marekani nchini Iraq na katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kueleza kuwa Marekani itakabiliwa na jibu kali iwapo itachua hatua au kutaka kuteteresha usalama wa Iran.
-
Mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Iraq: Maafisa wa Marekani walifanya vikao na Maba'ath
Apr 02, 2020 22:30Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya bunge la Iraq amefichua kuwa, baadhi ya maafisa wa Marekani walioko katika nchi jirani na Iraq, walifanya vikao kadhaa na viongozi wa chama kilichopigwa marufuku cha Ba'ath.
-
Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake
Apr 01, 2020 21:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza fursa ya kipekee na ya kihistoria ya kusahihisha makosa yake kwa kukataa kulindolea taifa hili vikwazo haramu wakati huu ambapo Iran inakabiliana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwana virusi vya corona.
-
Marekani yaendelea kuua raia katika mashambulizi yake ya anga Somalia
Apr 01, 2020 21:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la Marekani linaendelea kuua raia wasio na hatia katika mashambulizi yake ya anga nchini Somalia.
-
Masoko ya hisa yaporomoka baada ya White House kusema corona itaua Wamarekani 240,000
Apr 01, 2020 21:52Masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka vibaya kufuatia tangazo la Ikulu ya White House kuwa ugonjwa wa Covid-19 huenda utaua Wamarekani hadi laki mbili na elfu arubaini (240,000) ndani ya wiki mbili zijazo.
-
Guterres: Mgogoro wa sasa wa virusi vya corona ndio mbaya zaidi duniani tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia
Apr 01, 2020 03:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa maambukizi ya sasa ya virusi vya corona ndiyo mgogoro mkubwa zaidi duniani tangu baada ya vita vya Pili vya Dunia.
-
Malengo ya kuhamishwa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Apr 01, 2020 02:14Katika siku chache za hivi karibuni kuwekuwepo operesheni kabambe ya kuhamishwa wanajeshi wa Marekani kutoka sehemu moja ya kupelekwa jingine ndani ya ardhi ya Iraq.
-
Wafanyakazi za vibarua nchini Marekani wafanya mgomo huku janga la corona likiendelea kuitikisa dunia
Mar 31, 2020 21:52Wafanyakazi za vibarua wa sekta mbali mbali nchini Marekani wamefanya mgomo kulalamikia upuuzaji unaofanywa na waajiri wao kuhusiana na afya zao sambamba na kushtadi maambukizi ya kirusi cha covid-19 nchini humo.
-
Rezai: Hatua yoyote ya kijeshi itakayochukua Marekani Iraq ni sawa na shambulio linalofanywa na DAESH (ISIS)
Mar 31, 2020 11:23Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, hatua yoyote ya kijeshi itakayochukua Marekani nchini Iraq itakuwa sawa na hujuma inayofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa
Mar 31, 2020 03:49Kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hata katika mazingira haya magumu ya kuenea virusi vya corona na kuwekwa vizingiti vya kila aina katika njia ya kudhaminiwa vifaa vya afya na matibabu kwa ajili ya kukabiliana na virusi hivyo, kumewafanya wengi wakiri kuwa 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran yanajumuisha hata mfumo wa afya na tiba wa nchi hii.