Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Mar 28, 2020 01:47

    Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.

  • Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran

    Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran

    Mar 27, 2020 05:25

    Kuendelea vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa ya utawala wa Trump katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran sambamba na udharura wa kukabiliana na ugonjwa huo angamizi kumepelekea jamii ya kimataifa iwasilishe maombi ya kutaka vikwazo hivyo viondolewa mara moja.

  • Marekani yaongoza kwa kuwa na kesi nyingi za corona duniani

    Marekani yaongoza kwa kuwa na kesi nyingi za corona duniani

    Mar 27, 2020 03:41

    Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia watu 82,400, hiki kikiwa ni kiwango kikubwa zaidi cha maambukizi ya virusi hivyo duniani hivi sasa.

  • Radiamali ya Venezuela baada ya Marekani 'kumshtaki' Rais Maduro

    Radiamali ya Venezuela baada ya Marekani 'kumshtaki' Rais Maduro

    Mar 27, 2020 03:31

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali na kutaja kama kichekesho hatua ya Marekani ya eti kumfungulia mashitaka ya ulanguzi wa mihadarati, ambapo amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa mtu mbaguzi.

  • Kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika kivuli cha Corona

    Kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika kivuli cha Corona

    Mar 27, 2020 03:28

    Katika radiamali yake dhidi ya msimamo wa hivi karibuni wa Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani juu ya kuendelea mashinikizo ya juu zaidi ya Washington dhidi ya Tehran, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja waziri huyo wa Marekani kuwa 'waziri wa chuki'.

  • Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada

    Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada

    Mar 26, 2020 22:33

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameiasi Marekani kubadili mienendo yake ili mripuko wa ugonjwa wa covid-19 ambalo ni janga la kimataifa lisilochagua taifa, usigeuke na kuwa mgogoro wa daima.

  • Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani

    Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani

    Mar 26, 2020 06:38

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mienendo ya mwenzake wa Marekani, Mike Pompeo ya kueneza chuki, uhasama na propaganda dhidi ya Iran na kumtaja waziri huyo wa utawala wa Donald Trump kama Waziri wa Chuki.

  • Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona

    Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona

    Mar 26, 2020 00:58

    Kuenea virusi vya Corona na ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani si tu kwamba kumekuwa na taathira kubwa za kiuchumi na kijamii, bali pia kumegeuka na kuwa mjadala mkubwa ndani ya Bunge la Kongresi na ikulu ya White House.

  • Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona

    Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona

    Mar 25, 2020 23:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amedai kuwa serikali za Russia na China zinajiepusha kutoa taarifa sahihi za virusi vya Corona.

  • Mwito wa wabunge wa Marekani wa kupunguzwa vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Mwito wa wabunge wa Marekani wa kupunguzwa vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Mar 25, 2020 02:31

    Baada ya serikai ya Trump huko Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018, ilianza kuiwekea Iran vikwazo vya kila namna ambavyo Trump anajingamba kuwa hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kuwekewa vikwazo vikubwa, vikali na vingi kama alivyoiwekea Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS