-
Shamkhani: Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama
Mar 24, 2020 22:00Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa: "Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama."
-
Kuna uwezekano watu milioni saba watafariki dunia nchini Marekani kutokana na corona
Mar 24, 2020 10:19Utafiti mpya uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani umeonyesha kuwa, kutokana na uhaba wa vifaa vya kupumulia, watu zaidi ya milioni saba watafariki dunia endapo wataambukizwa kirusi cha corona.
-
Trump awataka Wamarekani wafungue biashara zao licha ya corona kuendelea kuua
Mar 24, 2020 03:01Rais wa Marekani, Donald Trump amewataka wananchi wa nchi hiyo kurejea katika biashara na shughuli zao za kila siku haraka iwezekanavyo akidai kuwa, idadi ya watu watakaojiua kutokana na msongo wa mawazo nchini humo itakuwa kubwa ikilinganishwa na ile ya wanaokufa kutokana na ugonjwa wa covid-19 (corona).
-
Viongoza wa New York waonya juu ya maafa yanayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba
Mar 23, 2020 22:06Meya wa mji wa New York nchini Marekani ametahadharisha kuhusu ongezeko la hasara inayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba na ametabiri kwamba, katika kipindi cha miezi miwili ijayo mgogoro unaotokana na virusi vya corona utakuwa mkubwa zaidi.
-
Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu kadhia ya Amer Al-Fakhoury
Mar 22, 2020 04:49Kuachiliwa huru na kutoroshwa Amer Al-Fakhoury, kibaraka mwenye uraiapacha wa Lebanon na Marekani, ilikuwa ndio maudhui kuu ya hotuba aliyotoa Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon usiku wa kuamkia jana.
-
Iran yakanusha madai ya uongo ya Marekani kuhusu vikwazo vya dawa na chakula
Mar 22, 2020 03:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliyodai kuwa eti vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran havihusu dawa na chakula.
-
Utabiri wa kupungua asilimia 24 ya pato ghafi la ndani Marekani kwa sababu ya corona
Mar 22, 2020 02:30Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 yameathiri sana uchumi wa dunia na kuacha taathira kubwa hasi kwa uchumi wa Marekani. Utabiri unaonyesha kuwa, uchumi wa Marekani unakabiliwa na hali ngumu kupita kiasi.
-
Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa
Mar 21, 2020 01:38Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumai kutumia madai yake ya mafanikio ya kiuchumi katika kampeni zake za uchaguzi wa rais nchini humo mwaka huu wa 2020, lakini hakuwa ametabiri kuhusu kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona ambao umepelekea kuporomoka masoko ya hisa Marekani na hivyo kuingiza uchumi huo mkubwa zaidi duniani katika mdororo.
-
Iran iko tayari kuisaidia Marekani kudhibiti ugonjwa wa Covid-19
Mar 20, 2020 10:01Naibu Waziri wa Afya wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuisaidia Marekani kudhibiti mripuko wa ugonjwa wa COVID-19, kutokana na udhaifu wa mfumo wa afya wa nchi hiyo ambao umeshindwa kuzuia wimbi la maambukizi ya kirusi cha corona nchini humo.
-
Kuendelea vikwazo vya Marekani na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya mfumo wa tiba wa Iran
Mar 20, 2020 08:18Katika siku za hivi karibuni Marekani imeendelea mtawalia kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.