-
Kwa nini watu wengi duniani wana mtazamo hasi kuhusu Marekani?
Jul 09, 2025 23:19Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa na Kituo cha Utafiti cha Pew, watu wa Canada na Mexico, majirani wawili wa karibu wa Marekani, wanaitambua nchi hiyo kuwa tishio kubwa zaidi kwao.
-
Iran: Trump anaongopa kudai kuwa tumeomba tufanye mazungumzo
Jul 08, 2025 13:14Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekanusha vikali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kwamba Tehran imeomba kufanyike mazungumzo, ikiikashifu Washington kwa kubuni madai yasiyo na msingi ili kuficha kushindwa kwake.
-
Kwa nini mizozo ya madola ya Ulaya kuhusu jinsi ya kukabiliana na vita vya ushuru vya Trump imeongezeka?
Jul 08, 2025 09:59Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena ameibua vita vya kibiashara na ulimwengu kwa kutangaza kwamba, ataamua kiwango cha ushuru wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje kwa kutuma barua kwa nchi 12 kuanzia Jumatatu ya jana, Julai 7.
-
Waliofariki kwa mafuriko katika jimbo la Texas nchini Marekani yafikia 104
Jul 08, 2025 07:40Duru kadhaa za habari zimeripoti kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani imeongezeka na kufikia 104.
-
Wahanga wa mafuriko ya Texas, Marekani yaongezeka hadi watu 50
Jul 06, 2025 04:21Kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani, mamlaka za eneo hilo zimetangaza kuwa idadi ya waliofariki dunia imepindukia 50 na wengine wasiopungua 29 hawajulikani waliko.
-
Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza
Jul 05, 2025 22:55Wakandarasi wa usalama wa Marekani wanatumia risasi za moto, maguruneti, na gesi ya kuwasha dhidi ya raia katika vituo vya usambazaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya
Jul 04, 2025 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa jibu thabiti kwa kauli ya hivi majuzi ya Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, kwamba mazungumzo yoyote yale yatakayofanyika, lengo lake liwe ni "kufuta moja kwa moja mpango wa nyuklia wa Iran".
-
Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine
Jul 04, 2025 08:56Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.
-
Kwa nini shambulio la Israel na Marekani dhidi ya Iran limetoa pigo kubwa kwa NPT?
Jul 03, 2025 03:56Tovuti ya Kiingereza ya Al Jazeera imezungumzia matokeo ya hujuma za karibuni za Marekani na Wazayuni katika ardhi ya Iran na vituo vyake vya nyuklia, na kuandika kwamba vita vya siku 12 havijafanikiwa chochote isipokuwa kuharibu uaminifu wa kiwango fulani uliokuwepo kuhusiana na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Nyuklia (NPT).
-
Seneta wa Marekani: Mpango wa nyuklia wa Iran haujaangamizwa
Jun 28, 2025 02:56Chris Murphy, Seneta wa Marekani wa chama cha Democratic amesema, madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu kuangamizwa mpango wa nyuklia wa Iran hayana ukweli.