Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati

    Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati

    Apr 24, 2019 23:50

    Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la Reuters umefichua kuwa, tani za dhahabu zenye thamani ya mabilioni ya dola zinasafirishwa kila mwaka kwa njia za magendo kutoka Afrika kuelekea Marekani na nchi za Ulaya, huku Umoja wa Falme za Kiarabu ukitajwa kuwa lango kuu la biashara hiyo haramu.

  • Rouhani: Njama za Marekani dhidi ya Iran zitashindwa + Video

    Rouhani: Njama za Marekani dhidi ya Iran zitashindwa + Video

    Apr 24, 2019 09:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Wamarekani katika kipindi cha miaka 40 sasa wamekuwa wakipanga njama kila siku dhidi ya taifa la Iran na katika muda huo wote wamekuwa wakishindwa."

  • Zarif: Wasiwasi na kukata tamaa, sababu za Marekani kushadidisha vikwazo dhidi ya Iran

    Zarif: Wasiwasi na kukata tamaa, sababu za Marekani kushadidisha vikwazo dhidi ya Iran

    Apr 23, 2019 23:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uamuzi wa Marekani wa kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya taifa hili umetokana na wasiwasi na kukata tamaa utawala huo wa kibeberu.

  • Jeshi la Marekani linawaruhusu wanachama wa Daesh waingie Afghanistan

    Jeshi la Marekani linawaruhusu wanachama wa Daesh waingie Afghanistan

    Apr 23, 2019 09:45

    Ripoti mpya imefichua kuwa, jeshi la Marekani limekuwa likiwaruhusu wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) pamoja na silaha zao kuingia nchini Afghanistan.

  • IRGC: Ikibidi, Iran itafunga lango bahari la Hormuz

    IRGC: Ikibidi, Iran itafunga lango bahari la Hormuz

    Apr 23, 2019 09:40

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema lango bahari la Hormuz ni njia ya kimataifa ya majini na kwamba Iran haitakuwa na chaguo jingine ghairi ya kulifunga lango hilo la kistratajia iwapo itazuiwa kulitumia.

  • Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia

    Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia

    Apr 23, 2019 02:32

    Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekumbwa na msuguano mkubwa hasa baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya Julai 2016. Baada ya Uturuki kusambaratisha mapinduzi hayo, ilisema kuwa Marekani ilihusika katika njama hiyo na kwa msingi huo uhusiano wa nchi hizo mbili uliingia baridi.

  • Balozi wa Ufaransa Washington: Mpango wa Marekani wa muamala wa Karne umeshindwa zamani

    Balozi wa Ufaransa Washington: Mpango wa Marekani wa muamala wa Karne umeshindwa zamani

    Apr 22, 2019 22:52

    Balozi wa Ufaransa mjini Washington amesisitiza kuwa, kuna asilimia 99 ya uwezekano wa kufeli mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" wa eti kutatua mgogoro wa Palestina na Israel.

  • Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar

    Radiamali ya Wademocrats dhidi ya uungaji mkono wa Rais Donald Trump kwa jenerali Khalifa Haftar

    Apr 22, 2019 02:42

    Nchi yenye utajiri wa mafuta ya Libya ambayo kijiografia ipo kaskazini mwa Afrika, imekuwa ikishuhudia vurugu, machafuko na vita vya ndani tangu mwaka 2011.

  • Seneta wa Marekani ataka Trump ang'olewe madarakani

    Seneta wa Marekani ataka Trump ang'olewe madarakani

    Apr 21, 2019 21:06

    Seneta wa chama cha Democrats nchini Marekani ametoa mwito wa kuanzishwa mchakato wa kuuzuliwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Meja Jenerali Baqeri: IRGC imefelisha njama za Marekani dhidi ya Iran kwa miaka 40

    Meja Jenerali Baqeri: IRGC imefelisha njama za Marekani dhidi ya Iran kwa miaka 40

    Apr 21, 2019 09:37

    Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wanafikra wakubwa ndani ya utawala wa Marekani wameshindwa sambamba na njama zao kufeli mkabala wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kipindi chote cha miaka 40 iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS