Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Gaidi mmoja Mmarekani auawa kaskazini mwa Iraq

    Gaidi mmoja Mmarekani auawa kaskazini mwa Iraq

    Apr 21, 2019 02:09

    Duru za habari zimeripoti kuwa mwanajeshi mmoja gaidi wa Marekani ameuawa kaskazini mwa Iraq.

  • Korea Kaskazini: Matamshi ya Bolton kuhusu duru ya tatu ya mazungumzo ni ya kipumbavu

    Korea Kaskazini: Matamshi ya Bolton kuhusu duru ya tatu ya mazungumzo ni ya kipumbavu

    Apr 20, 2019 08:43

    Korea Kaskazini imeyataja kama ya kipumbavu matamshi ya John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa katika Ikulu ya White House ya Marekani, ambaye hivi karibuni alisema kuwa uwezekano wa kufanyika duru ya tatu ya mazungumzo kati ya nchi mbili hizo ni mdogo.

  • Marekani yazidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela kwa kuiwekea vikwazo Benki Kuu ya nchi hiyo

    Marekani yazidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela kwa kuiwekea vikwazo Benki Kuu ya nchi hiyo

    Apr 19, 2019 03:18

    Ikiwa ni katika kuzidisha mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela, John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeiweka Benki Kuu ya Venezuela katika orodha ya vikwazo ya Washington.

  • Malalamiko ya pamoja ya nchi za dunia dhidi ya siasa za vikwazo za Marekani

    Malalamiko ya pamoja ya nchi za dunia dhidi ya siasa za vikwazo za Marekani

    Apr 17, 2019 01:45

    Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kibeberu, hivi sasa Washington imeongeza kasi kubwa ya kuziwekea vikwazo vya kiholela nchi mbalimbali duniani.

  • EU yatakiwa kupinga njama za Marekani dhidi ya Wapalestina

    EU yatakiwa kupinga njama za Marekani dhidi ya Wapalestina "Muamala wa Karne"

    Apr 16, 2019 09:45

    Viongozi na wanasiasa waandamizi wa zamani wa Ulaya wameuandikia barua Umoja wa Ulaya, wakiuasa usikubali kuunga mkono mpango wa Marekani wenye njama dhidi ya Wapalestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".

  • Kiongozi Muadhamu: Baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni

    Kiongozi Muadhamu: Baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni

    Apr 15, 2019 10:13

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu hawafanyii kazi maamrisho ya Qur'ani na ni vibaraka wa Marekani na Wazayuni.

  • Sheikh Naim Qassim: Marekani haina ubavu wa kukabiliana na mhimili wa muqawama

    Sheikh Naim Qassim: Marekani haina ubavu wa kukabiliana na mhimili wa muqawama

    Apr 15, 2019 10:12

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Marekani inataka kuupigisha magoti mhimili wa muqawama na kuufanya usalimu amri kupitia vikwazo vya kiuchumi, lakini inajidanganya kwani wananchi wa Lebanon katu hawatasalimu amri na muqawama utaendelea.

  • Zarif: Hatua ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni hatari

    Zarif: Hatua ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni hatari

    Apr 14, 2019 12:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema hatua isiyo ya kawaida ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu itakuwa na matokeo hatari sana.

  • Brigedia Jenerali Salami: Marekani imechukua hatua ya kipumbavu dhidi ya IRGC

    Brigedia Jenerali Salami: Marekani imechukua hatua ya kipumbavu dhidi ya IRGC

    Apr 14, 2019 02:58

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, uamuzi wa Marekani wa kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika orodha ya makundi yake ya kigaidi ni wa kipumbavu na usio kuwa na maana.

  • Hamas: Serikali mpya ya Abbas itasahilisha utekelezaji wa

    Hamas: Serikali mpya ya Abbas itasahilisha utekelezaji wa "Muamala wa Karne"

    Apr 14, 2019 02:56

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekosoa uundwaji wa serikali mpya Palestina inayotawaliwa na wanachama wa chama chake cha Fath, ikisisitiza kuwa serikali ya namna hiyo itawepesisha utekeleza wa njama za Marekani dhidi ya Wapalestina zilizopewa jina "Muamala wa Karne".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS