Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Korea Kaskazini yaipa Marekani muhula na kuitaka ibadili mienendo

    Korea Kaskazini yaipa Marekani muhula na kuitaka ibadili mienendo

    Apr 14, 2019 02:54

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ameonya kuwa, mazungumzo mengine kati yake na Rais Donald Trump wa Marekani yatafanyika tu iwapo Washington itabadilisha mienendo na misimamo yake.

  • Wayemen wasusia 'New York Post' kwa kumshambulia mbunge Muislamu wa US

    Wayemen wasusia 'New York Post' kwa kumshambulia mbunge Muislamu wa US

    Apr 14, 2019 02:53

    Muungano wa wafanyabiashara unaojumuisha wauza magazeti raia wa Yemen wanaoishi nchini Marekani umetangaza kuwa hautauza wala kununua tena gazeti la New York Post, baada ya gazeti hilo kumshambulia Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ilhan Omar.

  • Marekani yasema huenda ikalazimika kubakia Somalia baada ya 2026

    Marekani yasema huenda ikalazimika kubakia Somalia baada ya 2026

    Apr 13, 2019 22:36

    Marekani imedai kuwa inatazamia kukamilisha operesheni zake nchini Somalia ndani ya miaka saba ijayo, lakini iwapo italazimu, vikosi vyake vitasalia nchini humo kwa muda zaidi.

  • Trump aionya ICC dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na Israel

    Trump aionya ICC dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na Israel

    Apr 13, 2019 03:35

    Rais Donald Trump ameionya vikali Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) dhidi ya kuchunguza jinai za kivita za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • China na Umoja wa Ulaya zatangaza tena kuunga mkono mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    China na Umoja wa Ulaya zatangaza tena kuunga mkono mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Apr 12, 2019 10:49

    Mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) yanahesabiwa kuwa mapatano muhimu sana katika fremu ya usalama na amani ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, mnamo Mei 8 mwaka 2018, Marekani ilichukua uamuzi wa pande moja na kujiondoa katika mapatano hayo.

  • Ayatullah Kermani: Marekani ni mama wa ugaidi, Trump ni mpumbavu kwa kuinasibisha IRGC na ugaidi

    Ayatullah Kermani: Marekani ni mama wa ugaidi, Trump ni mpumbavu kwa kuinasibisha IRGC na ugaidi

    Apr 12, 2019 10:48

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatua ya Washington ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi ni ya kipumbavu na kwamba Marekani ndiye mama wa ugaidi duniani.

  • Upinzani: Uingereza haipaswi kumkabidhi Julian Asange kwa Marekani

    Upinzani: Uingereza haipaswi kumkabidhi Julian Asange kwa Marekani

    Apr 12, 2019 10:27

    Kiongozi wa chama Leba nchini Uingereza amekosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mjini London mwasisi wa mtandao unaojishughulisha na kufichua siri na kashfa wa WikiLeaks, Julian Assange.

  • Maandamano yashuhudiwa London baada ya kukamatwa mwasisi wa Wikileaks

    Maandamano yashuhudiwa London baada ya kukamatwa mwasisi wa Wikileaks

    Apr 11, 2019 23:59

    Maandamano yameshuhudiwa nje ya ubalozi wa Ecuador mjini London baada ya polisi ya Uingereza kumtia mbaroni mwasisi wa mtandao unaofichua fedheha nyingi za nchi na viongozi mbalimbali duniani wa WikiLeaks, Julian Assange, ambaye amekuwa akiishi ubalozini hapo tokea mwaka 2012.

  • Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Apr 11, 2019 23:55

    Rais Michel Aoun wa Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, tangazo la Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na umiliki wa utawala vamizi wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria linakinzana na maazimio ya kimataifa.

  • Nasrullah: Hatua ya US dhidi ya IRGC ni thibitisho kuwa Washington imefeli katika eneo

    Nasrullah: Hatua ya US dhidi ya IRGC ni thibitisho kuwa Washington imefeli katika eneo

    Apr 11, 2019 09:26

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) sambamba na kulaani hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi amesisitiza kuwa, kitendo hicho ni ithibati tosha kuwa Washington imefeli katika njama zake ghalati katika eneo la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS