-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Mar 05, 2019 10:45Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Putin aamuru kusimamishwa kwa muda utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF
Mar 05, 2019 03:33Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa, Moscow itasimamisha utekelezaji wa Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati maarufu kwa kifupi kama INF.
-
Kuendelea mashinikizo dhidi ya mbunge mwanamke Muislamu wa Kongresi ya Marekani
Mar 04, 2019 04:07Katika muendelezo wa mashinikizo dhidi ya Ilhan Omar, mbunge Muislamu wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, kwa mara nyingine, wafuasi na waungaji mkono wa Rais Donald Trump wa Marekani wamemtusi mbunge huyo kwa kubandika picha zinazomtambulisha yeye kama gaidi.
-
Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia
Mar 03, 2019 23:09Marekani katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, imeonyesha wazi misimamo yake ya kudhoofisha na kujaribu kuundoa madarakani mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran.
-
Polisi wa Marekani waliomuua kwa risasi 20 kijana mweusi wafutiwa mashitaka
Mar 03, 2019 04:23Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukiukaji wa haki za kiraia za msingi za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini Marekani imewaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.
-
Sanders: Trump ni kidhabi na rais hatari zaidi katika historia ya US
Mar 03, 2019 04:15Seneta Bernie Sanders ambaye amezindua rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya hivi karibuni ya Marekani na kwamba mwanasiasa huyo wa chama cha Republican amekubuhu katika kusema urongo.
-
Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi
Mar 02, 2019 22:56Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.
-
Mgombea Urais 2020 nchini Marekani: Washington ilikosea kujiondoa katika mapatano ya JCPOA
Mar 01, 2019 23:19Mwanachama wa Bunge la Seneti na mgombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani, Elizabeth Warren sambamba na kuyatetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA amesema kuwa, hatua ya Washington kujiondoa katika mapatano hayo haikuwa na maana.
-
Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini
Mar 01, 2019 10:26Licha ya majigambo na makelele mengi ya kipropaganda ya Donald Trump na madai yake ya kupata mafanikio makubwa katika kampeni yake ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini, lakini rais huyo wa Marekani mwenye majivuno mengi amefeli vibaya katika suala hilo.
-
Maelfu ya watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini Marekani wanabakwa
Feb 27, 2019 04:37Wizara ya Afya ya Marekani imepokea malalamiko zaidi ya 4,500 yanayohusu kudhalilishwa kingono watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini humo.