Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela

    Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela

    Feb 26, 2019 23:13

    Sambamba na kuongezeka harakati za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ameituhumu Washington kwamba, inafanya njama za kuzusha mgogoro kwa shabaha ya kuanzisha vita katika eneo la Amerika ya Latini.

  • Ansarullah: Watoto na wanawake wa Yemen wanauawa kwa silaha za Marekani

    Ansarullah: Watoto na wanawake wa Yemen wanauawa kwa silaha za Marekani

    Feb 26, 2019 04:31

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema wanawake na watoto wa nchi hiyo maskini ya Kiarabu wanauawa kikatili kwa silaha zilizoundwa na Marekani na Wamagharibi katika hujuma zinazoongozwa na Saudi Arabia na waitifaki wake.

  • Shambulizi la anga la Marekani ladaiwa kuua 'magaidi' 35 Somalia

    Shambulizi la anga la Marekani ladaiwa kuua 'magaidi' 35 Somalia

    Feb 26, 2019 04:13

    Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) imedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 35 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.

  • Marekani yadai siku za Maduro kuwa madarakani Venezuela zinahesabika

    Marekani yadai siku za Maduro kuwa madarakani Venezuela zinahesabika

    Feb 25, 2019 00:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonya kuwa, Washington itaendelea kuisakama na kuishinikiza serikali ya Venezuela hadi ifahamu kuwa siku zake za kutawala zinahesabika.

  • Mbunge wa Democrats: Trump ndiye tishio kuu kwa demokrasia ya Marekani

    Mbunge wa Democrats: Trump ndiye tishio kuu kwa demokrasia ya Marekani

    Feb 25, 2019 00:49

    Mwakilishi wa chama cha upinzani cha Democrats amesema Rais Donald Trump ndiye tishio nambari moja kwa demokrasia ya Marekani.

  • Hatua mpya ya Marekani kwa ajili ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya China

    Hatua mpya ya Marekani kwa ajili ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya China

    Feb 25, 2019 00:48

    Baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trumpa huko Marekani mwezi Januari 2017, alianza kufuata siasa kali na za uhasama dhidi ya China sambamba na kuiwekea serikali ya Beijing mashinikizo tofauti.

  • Maduro: Wananchi wa Venezuela watasimama imara kupambana na madola ya kibeberu

    Maduro: Wananchi wa Venezuela watasimama imara kupambana na madola ya kibeberu

    Feb 23, 2019 13:01

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa serikali ya Caracas kwa ushirikiano na wananchi wa nchi hiyo watasimama kidete kupambana na madola ya kibeberu na hawatorudi nyuma katika suala hilo.

  • Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Feb 21, 2019 07:46

    Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.

  • Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho

    Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho

    Feb 21, 2019 04:14

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, mkutano ujao kati yake na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini mjini Hanoi, mji mkuu wa Vietnam, hautakuwa wa mwisho.

  • Jeshi la Venezuela lachukua hatua kali za kuzima njama chafu za Marekani

    Jeshi la Venezuela lachukua hatua kali za kuzima njama chafu za Marekani

    Feb 21, 2019 01:15

    Jeshi la Venezuela limechukua hatua madhubuti kwa ajili ya kuzima njama chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS