Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani inaipa Saudia teknolojia ya silaha za nyuklia

    Marekani inaipa Saudia teknolojia ya silaha za nyuklia

    Feb 20, 2019 04:27

    Ripoti ya Bunge la Kongresi nchini Marekani imebaini kuwa utawala wa Donald Trump uko mbioni kuikabidhi Saudi Arabia teknolojia ya siri ya kuunda silaha za nyuklia.

  • Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati

    Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati

    Feb 19, 2019 23:10

    Afisa mwandamizi wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema asilimia 50 ya silaha zilizouzwa na Marekani mwaka jana 2018, zilinunuliwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari

    Feb 19, 2019 03:57

    Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu asubuhi mjini Tehran alikutana na kundi la wananchi kutoka katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki wa kaskazini magharibi mwa Iran na kusema mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.

  • Kiongozi Muadhamu: Marekani imo katika kudhoofika; maafisa wa serikali wawe macho na hila za madola ya Ulaya

    Kiongozi Muadhamu: Marekani imo katika kudhoofika; maafisa wa serikali wawe macho na hila za madola ya Ulaya

    Feb 18, 2019 11:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya Uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.

  • "Kuna ushahidi wa wazi wa kuwepo mashirikiano ya siri baina ya Russia na timu ya kampeni ya Trump"

    Feb 18, 2019 04:22

    Adam Schiff, mwenyekiti wa kamati ya intelijensia ya Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, kuna ushahidi mkubwa na wa wazi unaothibitisha kuwa timu ya kampeni ya rais wa nchi hiyo Donald Trump ilikuwa na mashirikiano ya siri na Russia wakati wa uchaguzi wa rais wa mwaka 2016.

  • Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Feb 18, 2019 03:00

    Katika fremu ya nara yake ya "Marekani Kwanza" inayotoa kipaumbele kwa maslahi ya Marekani na kupuuza maslahi ya nchi nyingine duniani, Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa siasa za kuchukua maamuzi za upande mmoja na za kibinafsi za Washington zitazidisha nguvu za nchi hiyo dhidi ya wapinzani wake.

  • Vikwazo vipya; kuendelea njama za Marekani za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela

    Vikwazo vipya; kuendelea njama za Marekani za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela

    Feb 17, 2019 04:32

    Mgogoro wa Venezuela bado unaendelea ambapo Marekani na washirika wake wanatumia kila njia kwa ajili ya kuiondoa madarakani serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolás Maduro na kuiweka pahala pake serikali kibaraka.

  • Maduro: Venezuela haihitaji msaada wa 'makombo' wa Marekani

    Maduro: Venezuela haihitaji msaada wa 'makombo' wa Marekani

    Feb 17, 2019 01:07

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema ni kinaya kuiona Marekani inajidai kuwa ina hamu ya kuwapa wananchi wa nchi hiyo ya Amerika Latina kile inachodai kuwa ni msaada wa kibinadamu, katika hali ambayo imeiba mabilioni ya dola ya nchi hiyo kupitia vikwazo.

  • Kijana wa miaka 27 awaua wazazi wake na mfanyakazi wa ndani nchini Marekani

    Kijana wa miaka 27 awaua wazazi wake na mfanyakazi wa ndani nchini Marekani

    Feb 17, 2019 01:06

    Vyombo vya mahakama nchini Marekani vimetangaza kuwa, kijana mmoja mwenye umri wa miaka 27 anashikiliwa na vyombo vya usalama akikabiliwa na tuhuma za kuwaua baba na mama yake pamoja na mfanyakazi wa ndani kusini mwa jimbo la California.

  • Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA

    Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 16, 2019 10:09

    Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS