-
Umoja wa Ulaya wapinga takwa la Marekani la kujiondoa mapatano ya nyuklia ya Iran
Feb 16, 2019 04:37Umoja wa Ulaya umepinga ombi la Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ambaye amezitaka nchi za Ulaya zifuate nyayo za Marekani na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran kwa lengo la "kuitenga" Jamhuri ya Kiislamu.
-
Zarif: Kuanzisha vita dhidi ya Iran ni sawa na kujitia kitanzi
Feb 15, 2019 21:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa jitihada za aina yoyote za kutaka kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran ni sawa na kujitia kitanzi na kujinyonga.
-
Takwimu: Polisi wa Marekani huua raia elfu moja kwa risasi kila mwaka
Feb 15, 2019 11:54Takwimu mpya zilizotolewa hivi karibuni nchini Marekani zinaonyesha kwamba, kwa mwaka karibu watu 1000 huawa kwa kupigwa risasi na polisi wa nchi hiyo.
-
Kufeli mkutano wa Warsaw
Feb 15, 2019 10:41Baada ya propaganda kubwa za wiki kadhaa zilizofanywa na Marekani kuhusu mkutano uliokuwa dhidi ya Iran wa Warsaw nchini Poland, hatimaye mkutao huo wa siku mbili ulimaliza kazi zake jana Alkhamisi bila ya mafanikio.
-
Trump: Ni kweli vitendo vya ukatili vimeongezeka nchini Marekani
Feb 14, 2019 23:20Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kwamba jinai za ukatili nchini humo zimeongezeka maradufu.
-
Mwakilishi wa Trump: Hatuna ratiba yoyote ya kuanzisha vita na Iran
Feb 13, 2019 23:12Mwakilishi wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran sambamba na kutoa tuhuma zao za kila siku dhidi ya Tehran amesema kuwa, nchi yake haina ratiba yoyote ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.
-
Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq
Feb 13, 2019 09:30Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Deni la taifa la Marekani lavunja rekodi, ni zaidi ya dola trilioni 22
Feb 13, 2019 04:04Wizara ya Fedha ya Marekani imeripoti kuwa, nchi hiyo inadaiwa dola trilioni 22, kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Wapalestina wazitaka nchi za Kiarabu zisusie mkutano wa Poland
Feb 12, 2019 10:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametoa mwito kwa nchi za Kiarabu kususia mkutano wa Poland, ulioitishwa na kufadhiliwa na Marekani.
-
Hasira za Trump kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2019 10:23Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiishambulia Iran kwa maneno makali iwe ni katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka 2016 au baada ya kuingia katika Ikulu ya White House Januari mwaka 2017 na hivyo kuendeleza mkondo wa kutakka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini.