Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kongamano la Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Iran

    Kongamano la Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Iran

    Feb 12, 2019 10:13

    Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kongamano dhidi ya Iran ambalo linaandaliwa kwa pamoja na Marekani pamoja na Poland mjini Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Jamhuri ya Kiislamu au kubadilisha sera zake.

  • Trump atishia kulipigia kura ya veto azimio la Kongresi dhidi ya Saudia

    Trump atishia kulipigia kura ya veto azimio la Kongresi dhidi ya Saudia

    Feb 12, 2019 04:27

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kupiga kura ya veto dhidi ya azimio lolote la Kongresi ya nchi hiyo linaloitaka serikali yake kukomesha misaada ya kijeshi kwa muungano wa Saudi Arabia katika vita dhidi ya taifa la Yemen.

  • Seneta wa Marekani asema huenda Trump 'atafungwa jela' kufikia 2020

    Seneta wa Marekani asema huenda Trump 'atafungwa jela' kufikia 2020

    Feb 11, 2019 04:17

    Seneta wa chama cha Democrats nchini Marekani amesema yumkini Rais Donald Trump wa nchi hiyo atakuwa gerezani kabla ya uchaguzi mkuu ujao nchini humo mwaka ujao 2020.

  • Kutimuliwa askari vamizi wa Marekani ndilo hitajio kuu la wananchi wa Iraq na Syria

    Kutimuliwa askari vamizi wa Marekani ndilo hitajio kuu la wananchi wa Iraq na Syria

    Feb 10, 2019 23:19

    Mahdi Taqee, Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, hadi sasa jumla ya wabunge 70 wa nchi hiyo wameshatia saini muswada wa kisheria wa kushinikiza kutimuliwa nchini humo askari wa kigeni hususan wa Marekani.

  • Zarif: Mkutano wa Marekani dhidi ya Iran umefeli hata kabla haujaanza

    Zarif: Mkutano wa Marekani dhidi ya Iran umefeli hata kabla haujaanza

    Feb 10, 2019 10:42

    Waziri wa Mambo ye Nje wa Iran amesema mkutano wa Marekani unaotazamiwa kufanyika nchini Poland katika siku chache zijazo na ulio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umefeli hata kabla haujaanza.

  • Mkurugenzi wa HRW: Misimamo ya Marekani kuhusu haki za binadamu inagongana

    Mkurugenzi wa HRW: Misimamo ya Marekani kuhusu haki za binadamu inagongana

    Feb 10, 2019 09:26

    Mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za bindamu la Human Rights Watch amesema mienendo ya serikali Marekani kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu inagongana na kukinzana.

  • Ushirikiano wa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini Venezuela dhidi ya Rais Nicolás Maduro

    Ushirikiano wa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini Venezuela dhidi ya Rais Nicolás Maduro

    Feb 10, 2019 07:37

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela, wapinzani wa serikali wanaoungwa mkono na Marekani wamezidisha njama zao za kubadilisha hali ya nchi hiyo kwa manufaa yao.

  • Palestina yasema haitashiriki mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Palestina yasema haitashiriki mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Feb 09, 2019 04:10

    Palestina imesema licha ya kupokea mwaliko, lakini haitahudhuria mkutano wa hapo tarehe 13 na 14 mwezi huu wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland, uliopewa anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

  • Mbunge Mwislamu wa Marekani aunga mkono kuundwa dola huru la Palestina

    Mbunge Mwislamu wa Marekani aunga mkono kuundwa dola huru la Palestina

    Feb 08, 2019 10:49

    Mbunge Mwislamu katika Bunge la Marekani anayetoka katika chama cha Demokrat ametoa wito wa kuchukuliwa misimamo imara zaidi kuhusiana na eneo la Mashariki ya Kati hususan kuundwa kwa dola huru la Palestina.

  • Kikao cha muungano unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) na madai ya kukaririwa ya Washington

    Kikao cha muungano unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) na madai ya kukaririwa ya Washington

    Feb 08, 2019 03:26

    Tarehe 19 Disemba mwaka jana Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kwamba askari wa Marekani wataanza kuondoka Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS