Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais Rouhani: Mahesabu ghalati ndio sababu ya kushindwa Marekani mkabala wa taifa la Iran

    Rais Rouhani: Mahesabu ghalati ndio sababu ya kushindwa Marekani mkabala wa taifa la Iran

    Feb 06, 2019 23:51

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahesabu yasiyo sahihi ya Marekani ndio sababu ya kushindwa endelevu kwa nchi hiyo mbele ya taifa la Iran kipindi cha kabla na baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.

  • Vyombo vya habari Marekani: Fikra za Trump kuhusu Iran hazina mlingano, zinafurutu mipaka

    Vyombo vya habari Marekani: Fikra za Trump kuhusu Iran hazina mlingano, zinafurutu mipaka

    Feb 06, 2019 23:27

    Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, matamshi yanayotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo yanaonesha kuwa, kiongozi huyo ana mitazamo na fikra zisizo na mlingano na za kuchupa mipaka kuhusiana na Iran.

  • Venezuela yanasa shehena ya silaha za Marekani

    Venezuela yanasa shehena ya silaha za Marekani

    Feb 06, 2019 03:56

    Vyombo vya usalama nchini Venezuela vimetangaza habari ya kunasa shehena kubwa ya silaha zinazoripotiwa kutokea Marekani, katika hali ambayo Rais Donald Trump amesisitiza kuwa serikali ya Washington itawaunga mkono kikamilifu wapinzani wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini, katika jitihada zao za kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro.

  • Iraq: Hatutaruhusu ardhi yetu itumike kuihujumu nchi yeyote ile

    Iraq: Hatutaruhusu ardhi yetu itumike kuihujumu nchi yeyote ile

    Feb 06, 2019 03:37

    Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump aliyedai kuwa wanajeshi wa Marekani wataendelea kuwepo nchini Iraq kwa shabaha ya kuipiga darubini Iran.

  • Rais Rouhani: Zama za Marekani kuitawala Iran haziwezi kurejea

    Rais Rouhani: Zama za Marekani kuitawala Iran haziwezi kurejea

    Feb 05, 2019 23:44

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani misimamo ya uhasama ya Marekani kwa Iran tangu ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu miaka 40 iliyopita, amesema zama za Washington kuishurutisha na kuitawala Iran zimekwisha na katu haziwezi kurejea.

  • Iran: Marekani inawahamishia magaidi wa DAESH (ISIS) Afghanistan

    Iran: Marekani inawahamishia magaidi wa DAESH (ISIS) Afghanistan

    Feb 05, 2019 12:29

    Msaidizi na Mshauri Mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ina taarifa za uhakika kuhusu hatua inazochukua Marekani za kuwahamishia magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.

  • Uungaji mkono wa kila upande wa Marekani na Saudi Arabia kwa kundi la al-Qaeda

    Uungaji mkono wa kila upande wa Marekani na Saudi Arabia kwa kundi la al-Qaeda

    Feb 05, 2019 09:41

    Kanali ya televisheni ya CCN imetangaza katika ripoti yake kwamba, Saudi Arabia imekuwa ikilipatia kundi la kigaidi la al-Qaeda silaha ambazo Marekani imeupatia muungano wa Kiarabu katika vita dhidi ya Yemen.

  • CNN: Saudi Arabia imetuma silaha za Marekani kwa kundi la al Qaida huko Yemen

    CNN: Saudi Arabia imetuma silaha za Marekani kwa kundi la al Qaida huko Yemen

    Feb 05, 2019 04:09

    Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua kuwa silaha zilizotumwa na nchi hiyo kwa muungano wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen zimekabidhiwa kwa makundi ya kigaidi hususan al Qaida.

  • Hizbullah ya Iraq: Muqawama utakata mikono itakayoichokoza Iran

    Hizbullah ya Iraq: Muqawama utakata mikono itakayoichokoza Iran

    Feb 05, 2019 00:15

    Msemaji wa brigedi za harakati ya Hizbullah ya Iraq amejibu matamshi ya karibuni ya Rais wa Marekani kwa kusema kuwa: Trump asahau njonzi ya kutaka kuishambulia kijeshi Iran kutokea Iraq kwa sababu muqawama wa Iraq utakata mikono ya mchokozi wa aina hiyo.

  • Pendekezo la Rais Maduro la kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati nchini Venezuela

    Pendekezo la Rais Maduro la kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati nchini Venezuela

    Feb 04, 2019 04:13

    Venezuela ambayo ni nchi ya Latin America kwa miaka kadhaa sasa imekuwa ikikabiliwa na machafuko kutokana na kupungua bei ya nishati ya mafuta katika soko la dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS