-
Misimamo na hatua za upande mmoja za Trump; hatari kwa jamii ya kimataifa
Oct 18, 2018 05:51Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kwa uchache kukabiliana na hatua za Marekani za kukiuka na kuvunja sheria ili kulinda heshima yake.
-
Qassemi: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ni kuvunjia heshima sheria za kimataifa
Oct 17, 2018 23:48Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ni kuvunjia heshima sheria na kanuni za kimataifa na hilo linatokana na chuki ya serikali ya Washington kwa taifa hili la Kiislamu.
-
Waziri wa Mafuta wa Iran: Marekani lazima iondoe vikwazo ili bei ya mafuta ishuke
Oct 17, 2018 00:48Bijan Namdar Zangeneh, Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itaiondolea vikwazo Iran, bei ya mafuta katika soko la dunia itapungua na hali ya kuvurugika uthabiti iliyopo katika soko hilo hivi sasa itaondoka.
-
Ongezeko la nakisi ya bajeti ya Marekani ambalo halijawahi kushuhudiwa; matokeo ya siasa za Donald Trump
Oct 17, 2018 00:47Tangu Rais Donald Trump wa Marekani aingie katika ikulu ya White House na kushika hatamu za uongozi wa nchi hiyo, alidai kwamba, atatanguliza mbele sera na hatua zitakazokuza uchumi wa nchi yake pamoja na ajira sambamba na kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Washington.
-
Tuhuma na maneno makali ya Trump dhidi ya China
Oct 16, 2018 03:58Uhusiano wa Marekani na China umekumbwa na misukosuko na panda shuka mbalimbali baada ya kuingia madarakani Donald Trump huko Marekani. Washington na Beijing zinahitilafiana katika masuala mengi ya kisiasa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kiistratijia.
-
Rais Rouhani: Marekani haitadumu kwa muda mrefu katika siasa zake dhidi ya Iran
Oct 15, 2018 23:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa mipango makini iliyoandaliwa, Marekani haitaweza kudumu kwa muda mrefu katika sera na siasa zake zilizo dhidi ya Iran.
-
Shirika la Marekani lakiri kuhusu kubakwa wasichana Liberia
Oct 15, 2018 23:35Shirika moja la kutoa misaada ya kibinadamu la Marekani limekiri kuwa wasichana wa shule inayosimamiwa na shirika hilo walibakwa na muasisi wake na kufanyiwa jinai nyingine za kingono.
-
Sakata la kutekwa MO Dewji: Familia kutoa Sh1 bilioni kwa atakayetoa taarifa za alipo bilionea huyo
Oct 15, 2018 10:32Familia ya bilionea aliyetekekwa nyara nchini Tanzania Mohammed Dewji imevunja ukimya na kusema kuwa, itatoa kitita cha Sh1 bilioni kama zawadi kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kupatikana kwa bilionea huyo.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran aonya kuhusu kuibuka 'Hitler' wapya
Oct 15, 2018 10:11Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, iwapo dunia itaendelea kufumbia macho ukiukwaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na baadhi ya madola ya kibeberu, basi ijiandae kushuhudia watawala madikteta na makatili kama Adolf Hitler, kiongozi wa zamani wa Kinazi nchini Ujerumani.
-
Uungaji mkono wa Trump juu ya kuendelea miamala ya kuuzia silaha utawala wa Saudia
Oct 15, 2018 00:15Suala la kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kuendelea kuwa kitendawili hatma ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mashuhuri wa utawala wa Saudia ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo huko mjini Istanbul, Uturuki, limeendelea kuibua radiamali nyingi duniani.