-
Da Silva: Tutalipiza kisasi dhidi ya ushuru wa Trump
Jan 31, 2025 09:59Rais wa Brazil ametangaza kuwa: "Iwapo Donald Trump atatoza ushuru kwa bidhaa za Brazil, tutachukua hatua sawa za kulipizia kisasi."
-
Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC
Jan 30, 2025 23:19Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.
-
Maelfu waandamana Washington kupinga sera za uhamiaji za Trump
Jan 29, 2025 07:20Maelfu ya watu huko Marekani wamefanya maandamano nje ya Ikulu ya White House mjini Washington DC, kupinga mpango wa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump wa kusimamisha ufadhili wa serikali, pamoja na sera zake tata za uhamiaji.
-
Waandamanaji washambulia ubalozi wa Marekani Kinshasa, waliouawa Goma wapindukia mia moja
Jan 29, 2025 03:51Sambamba na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), raia wa nchi hiyo wameshambulia ubalozi wa Marekani na nchi nyingine kadhaa za Magharibi mjini Kinshasa na kuchoma moto baadhi ya ofisa za balozi hizo wakipinga uingiliaji kati wa nchi hizo katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Umoja wa Ulaya dhidi ya Marekani; Kaja Kallas asisitiza kushikama nchi za Ulaya
Jan 28, 2025 23:57Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa kuna ulazima wa kushikamana nchi za Ulaya mkabala wa Marekani.
-
Huduma mpya za Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 28, 2025 23:05Katika siku za mwanzo za muhula wake wa pili wa uongozi, Donald Trump, rais mpya wa Marekani, kwa mara nyingine tena amefuata njia ile ile aliyopitia katika muhula wa kwanza wa uongozi wake. Katika muhula wa kwanza, Trump alitoa uungaji mkono mkubwa na ambao haujashuhudiwa kwa utawala wa Kizayuni na kuchukua hatua mpya sambamba na kuiunga mkono Israel na kuwapinga Wapalestina. Vitendo na misimamo hii imekutana na majibu chanya kutoka Tel Aviv.
-
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Jan 28, 2025 04:33Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.
-
Kwa nini Trump hastahamili kuwepo kwa wahamiaji Waislamu huko Marekani?
Jan 27, 2025 23:23Moja ya amri tisa za Donald Trump katika siku ya kwanza ya uongozi wake ni kupitiwa upya sheria ya kurejesha marufuku ya Waislamu kuingia Marekani, suala ambalo iwapo litaidhinishwa na kutekelezwa, litakuwa na madhara makubwa kwa wahamiaji Waislamu nchini Marekani na hata waombaji visa Waislamu.
-
Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake
Jan 27, 2025 01:11Rais Donald Trump wa Marekani ameanza muhula wake wa pili wa uongozi huku akiweka hadharani uroho wake wa kupora ardhi, biashara na fedha za mataifa mengine ambapo ametangaza wazi azma yake ya kutaka kunyakua na kuunganisha ardhi za nchi huru na Marekani na pia kuhodhi kandarasi zenye faida kubwa kutoka kwa washirika wa Washington.
-
Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84
Jan 26, 2025 22:56Washington imesema mabomu 1,800 ya MK-84 yaliyohifadhiwa Marekani yatasafirishwa na kupelekewa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku chache zijazo.