Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • ‘Marekani imewatumia silaha magaidi wa ISIS Iraq’

    ‘Marekani imewatumia silaha magaidi wa ISIS Iraq’

    Apr 10, 2016 10:41

    Maafisa wa polisi nchini Iraq wanasema wameona ndege za kijeshi za Marekani zikiwateremeshia shehena za silaha magaidi wa ISIS au Daesh katika mkoa wa Al Anbar.

  • Marekani imewakabidhi silaha magaidi Syria

    Marekani imewakabidhi silaha magaidi Syria

    Apr 09, 2016 22:35

    Tovuti moja ya habari imefichua kuwa Marekani hadi sasa imeshatoa msaada wa tani elfu tatu za silaha kwa magaidi wa Al Qaeda na washirika wao nchini Syria.

  • Kerry atafakari kabla ya kutamka 'upuuzi' kuhusu Iran

    Kerry atafakari kabla ya kutamka 'upuuzi' kuhusu Iran

    Apr 09, 2016 11:37

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amemtaka Waziri wa Mambo ya Nje ya wa Marekani John Kerry kutafakari kabla ya kutamka maneneo ya “kipuuzi” kuhusu masuala ya kijeshi na kiulinzi ya Iran.

  • Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh

    Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh

    Apr 08, 2016 03:52

    Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Wapalestina waandaa azimio jipya dhidi ya Israel

    Wapalestina waandaa azimio jipya dhidi ya Israel

    Apr 08, 2016 03:50

    Ujumbe wa Palestina katika Umoja wa Mataifa umeandaa rasimu ya azimio jipya la kulaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Askari 500 wa Marekani walijiua mwaka jana

    Askari 500 wa Marekani walijiua mwaka jana

    Apr 06, 2016 03:13

    Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana na hivyo kuendeleza mkondo wa idadi kubwa ya wanajeshi wanaojiua nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.

  • Ash Shabaab yamnyonga Mtanzania kwa tuhuma za ujasusi

    Ash Shabaab yamnyonga Mtanzania kwa tuhuma za ujasusi

    Apr 03, 2016 23:27

    Raia wa Tanzania aliyejiunga na kundi la al Shabaab la nchini Somalia amenyongwa na kundi hilo kwa tuhuma za ujasusi.

  • Obama: Ni kweli ‘drones’ zetu zimeua raia wasio na hatia

    Obama: Ni kweli ‘drones’ zetu zimeua raia wasio na hatia

    Apr 02, 2016 03:19

    Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kuwa ndege zisizo na rubani za nchi hiyo zimeua idadi kubwa ya raia wasio na hatia katika nchi mbali mbali duniani na hususan za Kiislamu.

  • Upinzani wa Marekani na Israel kwa azimio la Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Upinzani wa Marekani na Israel kwa azimio la Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Apr 01, 2016 02:37

    Katika kuendeleza siasa zake za kuunga mkono sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa mara nyengine tena serikali ya Marekani imechukua msimamo usio wa kiutu na dhidi ya Wapalestina.

  • Kukandamizwa Waislamu Marekani kunafanywa kwa uratibu wa serikali na Wazayuni

    Kukandamizwa Waislamu Marekani kunafanywa kwa uratibu wa serikali na Wazayuni

    Mar 30, 2016 11:30

    Imam wa Msikiti wa al-Islam mjini Washington, Marekani amesema serikali ya nchi hiyo na Wazayuni wana muelekeo wa pamoja na wanashrikiana katika kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS