Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Wamarekani wengi wanapinga nchi yao kuingilia masuala ya nchi za Kiislamu

    Wamarekani wengi wanapinga nchi yao kuingilia masuala ya nchi za Kiislamu

    Mar 29, 2016 09:48

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa yanaonesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga nchi yao kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Kiislamu.

  • Sera za kigeni za Marekani na jinamizi  la Donald Trump

    Sera za kigeni za Marekani na jinamizi la Donald Trump

    Mar 29, 2016 02:52

    Huku kukiwa na uwezekano mkubwa wa kupata ushindi Donald Trump katika uteuzi wa mgombea wa chama cha Republican kuwania urais Marekani, kumeibuka wasi wasi kuhusu taathira hasi ya mwanasiasa huyo wa kutatanisha na bilionea katika sera za kigeni za Marekani.

  • 'Kampeni za urais zinaiaibisha Marekani'

    'Kampeni za urais zinaiaibisha Marekani'

    Mar 28, 2016 02:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amekiri kuwepo utovu wa nidhamu katika kampeni za uchaguzi wa rais nchini humo na kusema jambo hilo limepelekea Marekani kuaibika kimataifa.

  • Pentagon: Marekani kutuma vikosi zaidi nchini Iraq

    Pentagon: Marekani kutuma vikosi zaidi nchini Iraq

    Mar 26, 2016 03:39

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inajiandaa kutuma vikosi zaidi vya jeshi la nchini hiyo huko Iraq, eti kwa lengo la kuipa nguvu operesheni inayoendelea dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Wimbi jipya la chuki laibuka dhidi ya Uislamu Marekani

    Wimbi jipya la chuki laibuka dhidi ya Uislamu Marekani

    Mar 25, 2016 11:22

    Waislamu nchini Marekani wanakabiliana na wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia hata baada ya kuwa wamelaani vikali hujuma ya kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji Jumanne hii.

  • Wazayuni washirikiana na Idara ya Upelezi Marekani FBI kudukua simu za Iphone

    Wazayuni washirikiana na Idara ya Upelezi Marekani FBI kudukua simu za Iphone

    Mar 24, 2016 22:54

    Baada ya Shirika la Simu za Apple kukataa kushirikiana na Idara ya Polisi ya Upelelezi Marekani FBI katika kuifungua simu aina ya iPhone iliyotumiwa na mtu anayedaiwa kutekeleza mauaji San Bernardino, California mwaka jana, shirika moja la Kizayuni limepewa jukumu la kuifungua simu hiyo.

  • Mgombea mwingine wa rais Marekani afuata nyayo za Trump

    Mgombea mwingine wa rais Marekani afuata nyayo za Trump

    Mar 23, 2016 02:57

    Mgombea wa kiti cha rais kupitia chama cha Republican Ted Cruz amependekeza kuazishwa msako mkali dhidi ya wafuasi wa dini ya Kiislamu eti kwa shabaha ya kuwazuia ‘wasiingie kwenye kundi la wenye misimamo iliyofurutu ada’.

  • Rais wa Marekani awasili Cuba katika safari ya kihistoria

    Rais wa Marekani awasili Cuba katika safari ya kihistoria

    Mar 20, 2016 21:53

    Rais Barack Obama wa Marekani amewasili katika mji mkuu wa Cuba, Havana katika safari inayotajwa kuwa ya kihistoria.

  • Kiongozi asisitiza kuhusu uadui wa Marekani dhidi ya Iran

    Kiongozi asisitiza kuhusu uadui wa Marekani dhidi ya Iran

    Mar 20, 2016 13:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya kimsingi.'

  • 'Ni unafiki US kusema itashirikiana na ICC dhidi ya ISIS'

    'Ni unafiki US kusema itashirikiana na ICC dhidi ya ISIS'

    Mar 19, 2016 04:17

    Mchambuzi mmoja mashuhuri wa masuala ya kisiasa amesema serikali ya Marekani haiaminiki na kwamba madai yaake ya hivi karibuni kwamba iko tayari kushirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhakikisha wanachama wa kundi la kigaidi na kitaifiri la ISIS au Daesh wanapandishwa kizimbani ni ya kinafiki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS