-
UEI: Ikiwa Trump atashinda basi uchumi wa dunia utakuwa mashakani
Mar 18, 2016 00:18Asasi ya Intelejensia ya Uchumi 'Unit Economist Intelligence' inayojihusisha na utafiti wa masuala ya uchumi, imetahadharisha kuwa, ikiwa Donald Trump atashinda katika uchaguzi ujao wa rais nchini Marekani, basi uchumi wa dunia utakuwa mashakani.
-
Trump, mgombea urais Marekani atoa vitisho visivo vya kawaida
Mar 17, 2016 23:20Donald Trump, anayewania uteuzi wa chama cha Republican kugombea kiti cha urais Marekani ametishia kuwa, iwapo hatateuliwa na chama hicho, basi watu wasubiri ghasia na machafuko kote Marekani.
-
ISIS inatekeleza 'jinai dhidi ya binadamu'
Mar 15, 2016 23:28Wabunge nchini Marekani wamepitisha azimio la kutangaza kundi la kigaidi la Daesh au ISIS kuwa linatekeleza mauaji ya kimbari nchini Iraq na Syria.
-
ISIS inatekeleza 'jinai dhidi ya binadamu'
Mar 15, 2016 11:59Wabunge nchini Marekani wamepitisha azimio la kutangaza kundi la kigaidi la Daesh au ISIS kuwa linatekeleza mauaji ya kimbari nchini Iraq na Syria.
-
Ansari: Hukumu ya mahakama ya Marekani dhidi ya Iran ni kichekesho
Mar 13, 2016 22:51Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya Marekani dhidi ya Iran ni kichekesho, haina maana na inachezea shere vyombo vya mahakama na uadilifu na kuzidisha doa jeusi katika utendaji wa mahakama za Marekani.
-
Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami
Mar 13, 2016 13:22Baraza la Mahusiano la Waislamu nchini Marekani limewataka wanawake wa Kiislamu nchini humo kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa, wakati huu ambapo chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zimeongezeka kwa kiasi kikubwa mno.
-
Russia: Marekani iache unafiki na undumakuwili
Mar 11, 2016 05:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaja Marekani pamoja na waitifaki wake wa Magharibi kuwa ni wanafiki kwa kukataa kulaani hujuma za hivi karibuni dhidi ya ubalozi wa Russia nchini Ukraine.
-
Venezuela yamuita nyumbani mwanadiplomasia wake wa ngazi za juu US
Mar 10, 2016 04:27Venezuela imemuita nyumbani mwanadiplomasia wake wa ngazi za juu nchini Marekani kulalamikia hatua ya Washington ya kutangaza vikwazo vipya dhidi ya maafisa wakuu wa nchi hiyo.
-
Mhubiri Mkristo Mmarekani aliyewanyanyasa mayatima kingono huko Kenya afungwa
Mar 08, 2016 11:18Mhubiri Mkristo wa Marekani amehukumiwa miaka 40 jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto katika kituo kimoja cha mayatima chini Kenya.
-
Washington Post: Marekani inajitayarisha kuishambulia Korea ya Kaskazini
Mar 07, 2016 12:48Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Marekani na Korea ya Kusini zinafanya mazoezi katika maneva yao pamoja kwa ajili ya kuvishambulia vituo vya nyuklia vya Korea ya Kaskazini.