Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe

    Rais wa Venezuela: White House ilipanga njama niuawe

    Aug 05, 2023 22:59

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amemtuhumu aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump kwamba alikuwa mstari wa mbele katika kupanga njama iliyofeli ya kuuawa kiongozi huyo wa Amerika ya Latini.

  • Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa

    Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa

    Aug 05, 2023 00:26

    Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil ametaka kupigwa teke na kuwekwa pembeni matumizi ya sarafu ya dola katika biashara za kimataifa na kutafutwa sarafu nyingine za kuziba nafasi ya sarafu hiyo ya Marekani.

  • Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo

    Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo

    Aug 04, 2023 04:26

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanayozisumbua nchi za eneo la Asia Magharibi.

  • Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan

    Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan

    Aug 04, 2023 04:21

    Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.

  • Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Aug 03, 2023 23:27

    Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, wakitaka kufukuzwa nchini humo mara moja wanajeshi wa Marekani na Ufaransa.

  • Matukio ya ufyatuaji risasi yaongezeka US; 25,000 wameuawa 2023

    Matukio ya ufyatuaji risasi yaongezeka US; 25,000 wameuawa 2023

    Aug 01, 2023 22:49

    Taasisi ya kukusanya data zinazohusiana na matukio ya ufyatulianaji risasi nchini Marekani imetangaza kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2023 hadi sasa, zaidi ya watu 25,000 wameuawa kwa silaha za moto kote nchini humo.

  • Serikali ya San'aa: Marekani haitaki vita vikomeshwe nchini Yemen

    Serikali ya San'aa: Marekani haitaki vita vikomeshwe nchini Yemen

    Jul 31, 2023 22:59

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa Marekani haitaki kusimamishwa vita katika nchi hiyo.

  • Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan

    Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan

    Jul 30, 2023 23:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeonya kuhusu athari mbaya za ufisadi wa kiserikali nchini Ukraine kutokana na misaada isiyo na mahesabu ya kiuchumi inayomiminiwa nchi hiyo ya Ulaya Mashariki.

  • Biden: Kuna uwezekano wa Saudia na Israel kuanzisha rasmi uhusiano wao

    Biden: Kuna uwezekano wa Saudia na Israel kuanzisha rasmi uhusiano wao

    Jul 29, 2023 07:12

    Rais wa Marekani, Joe Biden kwa mara nyingine tena amedokeza kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa Saudi Arabia kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Nchi kufanywa “Mbuzi wa Azazeli”; mkakati wa Marekani katika sera ya kigeni

    Nchi kufanywa “Mbuzi wa Azazeli”; mkakati wa Marekani katika sera ya kigeni

    Jul 28, 2023 23:20

    Mojawapo ya mikakati ya Marekani katika sera zake za mambo ya nje ni kuzitoa mhanga nchi mbalimbali hasa zile zisizofuata na kwenda sambamba na sera na mitazamo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS