Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mashia wa Saudia

  • Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen

    Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen

    Apr 26, 2021 03:29

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Uokovu wa kitaifa ya Yemen imesema, imenasa mawasiliano yaliyofanywa kati ya Marekani na vinara kadhaa wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda katika mikoa ya Aden na Ma'rib na mashauriano yaliyofanywa baina ya pande hizo mbili.

  • Amnesty: Saudia inatumia hukumu ya kifo kama wenzo wa kuwakandamiza Waislamu wa Shia

    Amnesty: Saudia inatumia hukumu ya kifo kama wenzo wa kuwakandamiza Waislamu wa Shia

    Nov 08, 2018 05:31

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetahadharisha kuhusu hukumu ya kifo iliyopangwa kutekeleza na Saudi Arabia dhidi ya Waislamu 12 wa madhehebu ya Shia nchini humo na kusema kuwa, utawala wa kifalme wa Saudia unatumia adhabu ya kifo kama wenzo wa kukandamiza Waislamu wa madhehebu hiyo.

  • Hatimaye UN yavunja kimya chake, yaitaka Saudia iheshimu haki za binadamu

    Hatimaye UN yavunja kimya chake, yaitaka Saudia iheshimu haki za binadamu

    Aug 11, 2017 02:38

    Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia kukomesha jinai na mashambulio dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kuendelea mauaji dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia

    Kuendelea mauaji dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia

    May 19, 2017 03:08

    Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kuuawa kijana mmoja nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya jeshi la utawala wa Aal Saud katika kijiji cha al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.

  • Waislamu wa Shia nchini Misri walalamikia mbinyo wa serikali dhidi yao

    Waislamu wa Shia nchini Misri walalamikia mbinyo wa serikali dhidi yao

    Jun 24, 2016 22:15

    Waislamu wa Shia nchi Misri wamekosoa vikali mashinikizo na mbinyo unaotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi yao.

  • Mufti wa Kisuni Iraq aikosoa vikali Saudia kwa kuwazuia mahujaji wa Iran kwenda Hija

    Mufti wa Kisuni Iraq aikosoa vikali Saudia kwa kuwazuia mahujaji wa Iran kwenda Hija

    Jun 02, 2016 23:26

    Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq, amekosoa vikali uamzi wa utawala wa Saudi Arabia wa kuwazuia raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu na kusema kuwa, kitendo hicho kinakinzana na sheria za dini tukufu ya Kiislamu.

  • Mufti wa Kisuni nchini Iraq aikosoa vikali Saudia kwa kuwazuia mahujaji wa Iran kwenda Hijjah

    Mufti wa Kisuni nchini Iraq aikosoa vikali Saudia kwa kuwazuia mahujaji wa Iran kwenda Hijjah

    Jun 02, 2016 09:56

    Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq, amekosoa vikali uamuzi wa utawala wa Saudi Arabia wa kuwazuia raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu na kusema kuwa, kitendo hicho kinakinzana na sheria za dini tukufu ya Kiislamu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS