-
12 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 06, 2016 12:59Watu 12 wameuliwa na watu wenye silaha katika vijiji vya Jamhuri ya Afrika ya Kati, katika mapigano ya kwanza tangu Faustin-Archange Touadera kuidhinishwa kuwa rais wa nchi hiyo, Jumanne iliyopita.
-
UN: Machafuko yameua watu 670 nchini Iraq mwezi Februari
Mar 02, 2016 04:15Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu 670 wameuawa katika machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Iraq kwenye mwezi uliopita wa Februari pekee.