Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Kadhaa wauawa katika shambulio la waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Kadhaa wauawa katika shambulio la waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Mar 25, 2022 09:54

    Watu wasiopungua watano wameuawa baada ya genge moja la waasi kushambulia kambi ya jeshi huko mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Ethiopia kuwachukulia hatua wahalifu waliowachoma raia wakiwa hai, baadhi walikuwa na sare za jeshi

    Ethiopia kuwachukulia hatua wahalifu waliowachoma raia wakiwa hai, baadhi walikuwa na sare za jeshi

    Mar 12, 2022 22:54

    Serikali ya Ethiopia ilisema jana Jumamosi kwamba itawachukulia hatua wahusika baada ya mkanda wa video kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ukiwaonyesha watu wenye silaha, baadhi wakiwa wamevalia sare za kijeshi, wakiwachoma moto raia hadi kufa katika eneo la Magharibi mwa nchi hiyo.

  • Mwanaharakati wa Saudia: Sina amani, naandamwa na makachero wa Bin Salman

    Mwanaharakati wa Saudia: Sina amani, naandamwa na makachero wa Bin Salman

    Feb 28, 2022 09:44

    Wakati vyombo vya habari vya Saudia na makampuni ya mahusiano ya umma katika nchi za Magharibi, yaliajiriwa na serikali ya Riyadh yakiendelea kusafisha na kupendezesha sura ya mrithi wa ufalme wa Saudia, Mohammed bin Salman, iliyochafuliwa na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi, mwanaharakati wa Kisaudia Alya Alhwaiti anayeishi London, amelipua bomu baada ya kufichua kwamba alipokea vitisho vya kuuawa.

  • Watu 60 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC

    Watu 60 wauawa katika shambulio la wabeba silaha DRC

    Feb 02, 2022 22:58

    Kwa akali watu 60 wameuawa katika shambulio la kundi moja la wabeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Waziri wa Sheria wa Libya anusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha

    Waziri wa Sheria wa Libya anusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha

    Jan 29, 2022 04:46

    Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Waziri wa Sheria wa Libya amenusurika kuuawa katika shambulio la watu wenye silaha lililotokea kwenye barabara ya As-Sawani katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Watu 12 wauawa katika hujuma za wanamgambo wa ADF nchini DRC

    Watu 12 wauawa katika hujuma za wanamgambo wa ADF nchini DRC

    Jan 26, 2022 08:37

    Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kufuatia mashambulio ya waasi wa Uganda wa ADF.

  • Makumi ya watu wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Makumi ya watu wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Jan 25, 2022 04:29

    Watu wasiopungua 30 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila nchini Sudan Kusini.

  • Saudia yaua raia wa Yemen, ikiwemo familia nzima, katika hujuma dhidi ya Sana'a

    Saudia yaua raia wa Yemen, ikiwemo familia nzima, katika hujuma dhidi ya Sana'a

    Jan 18, 2022 23:32

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen amesema muungano wa kivita wa Saudi Arabia umetekeleza mashambulizi dhidi ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a, ambapo raia 20, ikiwemo familia moja wameuawa.

  • Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, wanapinga ufadhili wa Israel

    Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, wanapinga ufadhili wa Israel

    Jan 07, 2022 23:19

    Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo.

  • Watoto 2 ni kati ya wakimbizi 3 wa Eritrea waliouawa huko Tigray

    Watoto 2 ni kati ya wakimbizi 3 wa Eritrea waliouawa huko Tigray

    Jan 07, 2022 11:57

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, raia watatu wa Eritrea wakiwemo watoto wawili wameuawa katika shambulio la anga lililoilenga kambi ya wakimbizi katika eneo la Tigray lililoathiriwa na mapigano huko kaskazini mwa Ethiopia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS