-
Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi
Jun 16, 2019 02:16Marekani katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump imeanzisha jitihada za kuasisi muungano na kuimarisha uwepo wake katika eneo la Asia magharibi hususan katika Ghuba ya Uajemi kwa kisingizio cha eti kuwepo vitisho kutoka kwa Iran.
-
Russia yaishukuru Iran kwa juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa meli zilizoshambuliwa
Jun 15, 2019 04:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa shukurani zake za dhati kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa Kirusi waliokuwa kwenye meli mbili za mafuta zilizoshambuliwa siku ya Alkhamisi katika maji ya Bahari ya Oman.
-
Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo
Jun 15, 2019 04:41Gazeti la Al-Quds Al-Arabi linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa, baadhi ya pande katika eneo la Asia Magharibi hususan Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel, zinahusika kushadidisha migogoro katika eneo.
-
Kamisheni ya Haki za Binadamu: Israel ilihusika na ulipuaji wa meli za mafuta al Fujairah
Jun 04, 2019 02:28Afisa wa Kamisheni ya Kimataifa ya Haki za Binadamu katika eneo la Asia magharibi amesema kuwa, eneo kulikotokea milipuko ya meli za mafuta katika Bandari ya al Fujairah linadhibitiwa na askari wa Marekani, na utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika milipuko ya bandari hiyo huko Imarati.
-
Watu 32 watoweka katika ajali ya meli mashariki mwa pwani ya China
Jan 07, 2018 08:00Raia 30 wa Iran na wawili wa Bangladesh wameripotiwa kutoweka baada ya meli ya mafuta na nyingine ya mizigo kugongana mashariki mwa pwani ya China.
-
Meli za mafuta za Iran zarejea barani Ulaya
Jan 18, 2017 16:56Meneja wa Shirika la Taifa la Meli za Mafuta la Iran amesema kuwa, meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimerejea kwenye bandari za barani Ulaya.