-
Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mjini Paris
May 02, 2024 07:26Polisi wa kutuliza ghasia wa Ufaransa jana walikabiliana kwa mabavu na washiriki wa maandamano katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Maelfu ya Wakenya wataka kuelekea Saudia kutafuta kibarua licha ya manyanyaso wanayokumbana nayo
Sep 09, 2021 12:41Licha ya simulizi za kuatua moyo kuhusu madhila wanayopitia wakiwa huko Saudi Arabia, maelfu ya Wakenya wamekwama Nairobi wakilalamikia kuchelewa kupata tiketi ya ndege kwenda kufanyia kazi Uarabuni.
-
WHO na ILO: Kufanya kazi zaidi ya masaa 55 kwa wiki kunazidisha hatari ya kifo
Jun 03, 2021 10:05Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonesha kuwa, kufanya kazi zaidi ya masaa 55 kwa wiki kuna madhara kwa siha na afya ya mwandamu na kunazidisha hatari ya kifo.
-
Wafanyakazi wa Yemen; wahanga wakuu wa hujuma ya muungano wa Saudia
May 04, 2021 01:32Licha ya kuwa vita vya muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen vimekuwa na wahanga wengi lakini takwimu zinaonyesha kwamba wafanyakazi ndio wahanga wakuu wa vita hivyo.
-
ILo: Wafanyakazi waliorejea nyumbani kutoka nje kwa sababu ya corona wasaidiwe na nchi zao
Jun 24, 2020 12:58Shirika la Kazi Duniani (ILO) limezitaka serikali ziwasaidia makumi ya mamilioni ya wafanyakazi wahajiri waliolazimika kurudi katika nchi zao kutokana na janga la corona na kukumbana na ukosefu wa ajira na umasikini.
-
UN: Huenda watu milioni 25 wakapoteza ajira kutokana na Corona; wanafunzi milioni 850 wakatiziwa masomo
Mar 19, 2020 07:56Shirika la Kazi Duniani (ILO) limesema huenda mamilioni ya watu wakapoteza ajira kutokana na ugonjwa wa Corona ambao umeshaua maelfu ya watu kufikia sasa katika maeneo mbali mbali duniani.
-
ILO: Watu bilioni mbili wafanya kazi sekta isiyo rasmi, wana hali duni
May 01, 2018 07:41Watu bilioni 2 kote ulimwenguni wanafanya kazi katika sekta isiyo rasmi na idadi kubwa inapatikana katika nchi zinazoendelea na zile zinazoibuka kiuchumi.
-
Saudia yawafukuza maelfu ya vibarua Waethoipia kutokana na matatizo ya kiuchumi
Aug 02, 2017 14:21Utawala wa Aal Saud umewafukuza maelfu ya wafanyakazi za vibarua raia wa Ethiopia kutokana na matatizo ya kifedha yanayoikabili nchi hiyo.
-
Wafanyakazi wa Binladin wateketeza mabasi Makka
May 01, 2016 14:15Wafanyakazi wa shirika kubwa la ujenzi la Binladin wameteketeza mabasi kadhaa katika mji mtakatifu wa Makka.