Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mfungwa

  • Amnesty: Wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula, wanaishi katika hali mbaya

    Amnesty: Wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula, wanaishi katika hali mbaya

    Jul 31, 2019 22:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula katika mojawapo ya jela za nchi hiyo.

  • Ukandamizaji wa kuchupa mipaka dhidi ya wanawake Saudia; sababu ya kutoroka nchi?

    Ukandamizaji wa kuchupa mipaka dhidi ya wanawake Saudia; sababu ya kutoroka nchi?

    Jan 14, 2019 23:13

    Rahaf al Qanun binti wa miaka 18 wa Saudi Arabia hatimaye amefanikiwa kupata hifadhi nchini Canada baada ya kutoroka nchini mwake kwa tabu sana.

  • Wananchi wa Bahrain wafanya maandamano makubwa kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa walioko jela

    Wananchi wa Bahrain wafanya maandamano makubwa kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa walioko jela

    Jul 31, 2018 02:19

    Wananchi wa Bahrain jana usiku walifanya maandamano makubwa katika maeneo mbalimbali nchini humo lengo likiwa ni kuwaunga mkono na kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa na wanazuoni wa kidini wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa.

  • Mwanamfalme wa Saudia aachiwa huru baada ya kutoa kikomboleo cha dola bilioni moja

    Mwanamfalme wa Saudia aachiwa huru baada ya kutoa kikomboleo cha dola bilioni moja

    Nov 30, 2017 04:34

    Afisa mmoja wa utawala wa Aal Saud amesema Mut'ib bin Abdullah, mkuu wa zamani wa gadi ya taifa ambaye alikuwa amewekwa kizuizini, ameachiwa huru baada ya kutoa kikomboleo cha dola bilioni moja.

  • Raia 15,000 wa Bahrain wanashikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa

    Raia 15,000 wa Bahrain wanashikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa

    Oct 21, 2017 04:14

    Mkuu wa Shirika la Amani kwa Ajili ya Demokrasia na Haki za Binadamu nchini Bahrain amesema raia 15,000 wametiwa nguvuni nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.

  • Watu wasiopungua 11 wauawa huku wafungwa wapatao elfu moja wakitoroka jela Kongo DR

    Watu wasiopungua 11 wauawa huku wafungwa wapatao elfu moja wakitoroka jela Kongo DR

    Jun 11, 2017 23:55

    Watu wasiopungua 11 wameuawa huku wafungwa 930 wakitoroka jela wakati watu wenye silaha wasiojulikana walipovamia jela moja iliyoko kwenye mji wa Beni, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Marekani yaongoza kwa kuwa na wafungwa wengi duniani

    Marekani yaongoza kwa kuwa na wafungwa wengi duniani

    Mar 15, 2017 12:56

    Ripoti mpya iliyotolewa hivi karibuni inaonyesha kuwa idadi ya wafungwa wanaoshikiliwa katika jela za Marekani ni kubwa zaidi kuliko ya nchi zote duniani na hivi sasa kuna karibu wafungwa milioni mbili na laki tatu katika jela za nchi hiyo.

  • Hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain

    Hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain

    Feb 26, 2016 12:50

    Matukio yanayojiri nchini Bahrain yanaonyesha kuwa utawala wa Aal Khalifa unazidisha hatua za ukandamizaji dhidi ya wananchi kiasi kwamba kuwatia nguvuni na kuwafungulia kesi wanaharakati wa kisiasa kunazidi kuchukua sura pana zaidi inayozidi kutia wasiwasi siku baada ya siku.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS