Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Ripoti: Wanajeshi wa Marekani wanapora mafuta ya Syria

    Ripoti: Wanajeshi wa Marekani wanapora mafuta ya Syria

    Jul 02, 2020 12:10

    Wanajeshi wa Marekani wamepora shehena ya matrela 30 ya mafuta ya petroli kutoka visima vya mafuta vya Syria na kuyapeleka Iraq.

  • Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria

    Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria

    Jul 01, 2020 11:23

    Russia imekosoa mienendo inayokinzana ya nchi za Magharibi ya kuiwekea vikwazo vya uchumi Syria na wakati huo huo zinaitisha mkutano wa kukusanya misaada eti ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa nchi hiyo.

  • Uturuki yawatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa kilojistiki

    Uturuki yawatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa kilojistiki

    May 23, 2020 09:16

    Duru za habari za Syria zimeripoti kuwa, Uturuki imewatumia magaidi wa Syria msafara mwingine wa vifaa vya kijeshi katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya kaskazini mwa Syria.

  • Sayyid Hassan Nasrallah atetea msimamo wa Iran kuhusu mgogoro wa Syria

    Sayyid Hassan Nasrallah atetea msimamo wa Iran kuhusu mgogoro wa Syria

    May 15, 2020 07:33

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ametoa hotuba yenye kukosoa vikali sera za Marekani na utawala Israel kuhusu misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mgogoro wa Syria.

  • Malengo ya Israel katika mashambulio inayofanya mara kwa mara dhidi ya Syria

    Malengo ya Israel katika mashambulio inayofanya mara kwa mara dhidi ya Syria

    Apr 29, 2020 06:35

    Raia watatu wa Syria waliuawa na wanne walijeruhiwa katika shambulio la makombora lililofanywa na utawala wa Kizayuni siku ya Jumatatu dhidi ya maeneo ya makazi ya raia katika vitongoji vya al-Hajirah na al-Adilah kandokando ya Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Vijana waliopewa mafunzo na Luteni Soleimani wamuenzi kamanda wao mjini Halab Syria

    Vijana waliopewa mafunzo na Luteni Soleimani wamuenzi kamanda wao mjini Halab Syria

    Feb 19, 2020 10:56

    Kwa siku kadhaa sasa wananchi wa kaskazini mwa Syria wameghariki katika furaha baada ya kukombolewa kikamlifu mji wa Halab uliokuwa unakaliwa kwa mabavu na magenge ya kigaidi kwa miaka mingi. Mji huo wa Halab ambao ni muhimu mno kwa Syria hasa kiuchumi, kisiasa, kielimu na kiutamaduni, ulikombolewa kikamilifu Jumapili wiki hii.

  • Serikali ya Syria: Hatutaki uvamizi wa aina yoyote ile katika ardhi yetu

    Serikali ya Syria: Hatutaki uvamizi wa aina yoyote ile katika ardhi yetu

    Feb 05, 2020 04:43

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, amesema kuwa raia wa nchi hiyo hawakubali uvamizi wowote katika ardhi za nchi yao.

  • Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Syria Baharini

    Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Syria Baharini

    Jan 22, 2020 01:03

    Majeshi ya Russia na Syria yamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bandari ya Tartus ya Syria katika pwani ya Bahari ya Mediterranea.

  • Syria yakosoa jinai zinazofanywa na Marekani dhidi ya binadamu na haki zake

    Syria yakosoa jinai zinazofanywa na Marekani dhidi ya binadamu na haki zake

    Dec 13, 2019 10:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeikosoa Marekani kutokana na jinai zake dhidi ya ubinadamu na haki za binadamu katika maeneo mbalimbali ya dunia na imetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na jinai hizo.

  • Marekani yazidi kumimina wanajeshi wake kaskazini mwa Syria + Video

    Marekani yazidi kumimina wanajeshi wake kaskazini mwa Syria + Video

    Nov 17, 2019 11:23

    Msafara mwingine mmoja wa wanajeshi wa Marekani umeingia katika mji wa Qamishli mkoani al Hasakah, huko kaskazini mashariki mwa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS