-
Rais wa Misri kwa mara nyingine apinga kuhamishwa Wapalestina Gaza
Apr 26, 2025 02:38Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi jana Ijumaa alisisitiza kwa mara nyingine tena kwamba nchi hiyo ya Kiarabu "inapinga kikamilifu" kufurushwa Wapalestina kwenye makazi yao na kuhamishiwa katika nchi nyingine, na kuvitaja vita vya Gaza kuwa "janga la kibinadamu."
-
Misri na Djibouti zalaani mashambulizi mapya ya Israel katika Ukanda wa Gaza
Apr 24, 2025 10:47Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi na mwenzake wa Djibouti, Ismail Omar Guelleh wametangaza uungaji mkono wao kwa juhudi za kumaliza vita katika Ukanda wa Gaza, na kulinda usalama wa baharini katika Bahari Nyekundu.
-
Papa wa Misri: Wapalestina wa Gaza wanakabiliwa na dhulma za kuogofya
Apr 21, 2025 02:26Papa Tawadros II, Kiongozi wa Kanisa la Kiorthodoksi la Coptic la Misri, amelaani vikali mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja kama "moja ya aina mbaya zaidi za dhuluma" dhidi ya Wapalestina.
-
Misri yapinga madai ya Marekani kuhusu Ukanda wa Gaza
Apr 19, 2025 06:12Jumuiya ya Wahandishi wa Misri imepinga madai ya Marekani kuhusu Ukanda wa Gaza
-
Viongozi wa Misri na Qatar wakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani nchini Oman
Apr 15, 2025 03:16Rais wa Misri na Amir wa Qatar wametoa taarifa baada ya mazungumzo yao huko Doha, mji mkuu wa Qatar na kukaribisha mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani huko Oman.
-
Misri: Tunatumai mazungumzo ya Iran na Marekani yatasaidia kupunguza mivutano
Apr 13, 2025 10:34Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kuwa inatarajiwa mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yataanzisha awamu mpya itakayosaidia kuimarisha amani na kupunguza mivutano katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumla hususan Ukanda wa Gaza.
-
Maelfu ya Wamisri waandamana Sinai kuiunga mkono Palestina
Apr 09, 2025 13:42Maelfu ya wananchi wa Misri kutoka majimbo mbalimbali wamekusanyika karibu na Uwanja wa Ndege wa El-Arish katika Mkoa wa Sinai Kaskazini wakitangaza kuunga mkono kadhia ya Palestina na kupinga jaribio lolote la kuwafurusha Wapalestina kutoka katika ardhi zao.
-
Serikali ya DRC na waasi wa M23 kufanya mazungumzo ya kwanza Aprili 9 nchini Qatar
Apr 02, 2025 10:38Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepanga kufanya mazungumzo ya kwanza kabisa na kundi la waasi wa M23, April 9 mwaka huu katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa lengo la kufikia mwafaka wa kurejesha amani katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watalii kadhaa wafa maji baada ya nyambizi kuzama katika Bahari Nyekundu
Mar 28, 2025 07:12Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la kitalii la Hurghada kwenye maji ya Bahari Nyekundu pwani ya Misri.
-
Hali yazidi kuwa tete Sudan Kusini baada ya Makamu wa Rais Machar kukamatwa, UN yaonya
Mar 27, 2025 05:56Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimesema, kiongozi wake Riek Machar, ambaye ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo amekamatwa, huku Umoja wa Mataifa ukizitaka pande zote kuheshimu makubaliano ya mwaka 2018 yaliyomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.