-
Hali yazidi kuwa tete Sudan Kusini baada ya Makamu wa Rais Machar kukamatwa, UN yaonya
Mar 27, 2025 05:56Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimesema, kiongozi wake Riek Machar, ambaye ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo amekamatwa, huku Umoja wa Mataifa ukizitaka pande zote kuheshimu makubaliano ya mwaka 2018 yaliyomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
-
Waasi wa M23 wauteka mji wa Walikale mashariki mwa Kongo DR
Mar 21, 2025 03:23Kundi la waasi la M23, linaloendesha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limeuteka mji wa Walikale unaopatikana katika eneo lenye utajiri mkubwa wa madini huko Kivu Kaskazini.
-
Misri, Saudia zalaani Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Mar 03, 2025 07:07Hatua ya Israel ya kuzuia kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imelaaniwa na Misri na Saudi Arabia, huku nchi mbili hizo zikisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Misri: Amani haitapatikana pasi na kuundwa nchi huru ya Palestina
Mar 03, 2025 02:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, hakutakuwa na usalama katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) bila ya kuasisiwa taifa la Palestina.
-
Misri yapinga kuundwa serikali nyingine nchini Sudan
Mar 02, 2025 12:24Misri imetangaza leo Jumapili kuwa haiafiki jaribio lolote la kuunda serikali nyingine nchini Sudan au kuchukuliwa hatua yoyote ambayo inatishia umoja na mamlaka ya kujitawala Sudan.
-
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Mar 02, 2025 07:28Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina na sasa imetayari mpango mbadala.
-
Misri yapinga pendekezo la Israel la kutaka Gaza isimamiwe na Cairo
Feb 27, 2025 11:01Misri imepinga pendekezo lililotolewa na kiongozi wa upinzani wa Israel, Yair Lapid kwamba Cairo, badala ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, iendeshe na kuusimamia kwa muda Ukanda wa Gaza; na kusisitiza kuwa mipango ya aina hiyo "haikubaliki."
-
Misri yakataa pendekezo la Wazayuni la kuitawala Gaza kwa miaka 8
Feb 26, 2025 06:40Cairo imekataa pendekezo la maafisa wa utawala za Kizayuni wa Isarel wanaotaka serikali ya Misri isimamia mamlaka ya Ukanda wa Gaza kwa miaka 8 hadi 15.
-
EAC na SADC zawateua marais wastaafu wa Afrika kusuluhisha mzozo wa Kongo DR
Feb 25, 2025 09:45Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC zimewateua Uhuru Kenyatta kutoka Kenya, Olusegun Obasanjo kutoka Nigeria, na Hailemariam Desalegn kutoka Ethiopia kuongoza mazungumzo ya kutatua mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Msomi wa Misri amshambulia vikali Trump, aitaka Cairo kusimama kidete dhidi ya bwabwaja zake
Feb 13, 2025 06:51Msomi wa Misri amemshambulia vikali Rais Donald Trump wa Marekani na kutoa wito wa kutolewa jibu kali dhidi ya kiongozi huyo akisema: "Lazima tusimame imara na ngangari dhidi ya Trump, na misaada ya Marekani inapaswa kupelekwa kuzimu."