-
Marekani yaendelea kuiuzia Misri silaha licha ya faili lake jeusi la haki za binadamu
Jan 26, 2022 23:07Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 2.5 kwa Misri licha ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kuendelea kuandamwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Misri yamvua uraia mtetezi wa haki za binadamu
Jan 08, 2022 09:05Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Misri, Ramy Shaath ameachiwa huru baada ya kuwekwa korokoroni kwa zaidi ya miaka 2 na nusu.
-
Maneva ya pamoja ya kijeshi kati ya Russia na Misri
Dec 02, 2021 08:37Kikosi cha wanajeshi wa meli za kivita za Russia katika bahari Nyeusi kimetangaza kuwa meli za nchi hiyo hivi karibuni zitawasili katika bandari ya Alexandria huko Misri kwa ajili ya kushiriki katika maneva ya pamoja na nchi hiyo.
-
Mwanadiplomasia wa zamani: Israel na Misri ziliunga mapinduzi ya kijeshi Sudan
Nov 24, 2021 04:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Zamani wa Sudan amesema kuwa, Misri na utawala wa Kizayuni wa Israel ziliunga mkono mapinduzi ya kijeshi nchini mwake.
-
Ripoti: Misri ilitumia taarifa za kijasusi za Ufaransa kuua raia
Nov 22, 2021 08:33Ripoti mpya imefichua kuwa, vikosi vya usalama vya Misri vimetumia taarifa za kiintelijensia za jeshi la Ufaransa kuwahujumu na hata kuwaua raia wa nchi hiyo ya Kiarabu wanaotuhumiwa kufanya magendo.
-
Tume ya Haki Afrika yaitaka Misri isitishe hukumu ya kifo
Nov 10, 2021 10:55Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika imeitaka serikali ya Misri itengue huku ya kifo dhidi ya watu wanaotuhumiwa kushiriki maandamano jijini Cairo mwaka 2013.
-
Jenerali al Burhan alitembelea Misri kwanza kabla ya kufanya mapinduzi Sudan
Nov 04, 2021 08:32Gazeti moja la nchini Marekani limefichua kuwa, kamanda wa jeshi la Sudan alitembelea Misri siku moja tu kabla ya kuongoza mapinduzi ya kijeshi nchini Sudan.
-
Rais wa Misri afuta sheria ya hali ya hatari
Oct 26, 2021 04:25Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kuwa serikali yake imetengua sheria ya hali ya hatari kitaifa nchini humo.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Doha na Cairo katika Muktadha wa Busara ya Qatar katika sera ya kigeni
Oct 22, 2021 00:26Kufuatia kuanza kazi kwa balozi wa Qatar mjini Cairo, balozi wa Misri pia aliwasili Doha siku ya Jumatano Oktoba 20 kwa ajili ya kuwakilisha nchi yake katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Ugiriki, Misri na Cyprus zaionya Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi
Oct 20, 2021 03:50Wakuu wa nchi za Cyprus, Misri na Ugiriki jana Jumanne walikutana mjini Athens na kutoa onyo kali kwa Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterranean.